Hivi msichana akimaliza period yake nikae siku ngapi ili nifanye safe sexual without pregnancy?

e1d5ec90015ddcd5d9772b11aeb888b1.jpg


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Usiogope kumpa mimba tu , Kuna magonjwa pia . Akimaliza kuvuja mapeema kabisa unaweza Kula mzigo kwa kutumia Condom .

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikupe elimu kidogo..

Anza kuhesabu kuanzia siku ya kwanza ya demu wako kuingia bleed hadi siku ya 11-16..

Yaani kuanzia siku ya 11 hadi ya 16 ni siku za hatari..

Vipi.. Unataka nikufundishe na jinsi ya kuchagua mtoto!??

Post sent using JamiiForums mobile app
Nifundishe mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom