TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 996
- 1,511
Mpaka sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vingi hawajapewa pesa licha ya kwamba taratibu zote zilishatimizwa na vyuo, kuna wanafunzi mpaka dakika hii hawajakamilisha usajili kisapesa hawana na hakuna taarifa yoyote natolea mfano DIT,madogo wanaishi kiMunguMungu tu.
Mbali na hapo bodi imeshindwa kusimamia vizuri ugawaji wa mikopo na hii ni kutokana na ukweli kwamba hawana pesa za kutosha lakini bado wanaingiza faida nyepesa kuwapa na wanafunzi wa diploma mikopo, hivi mwanafunzi wa Engineering anapewa tuition fee 250k kwa mwaka na ada ni 1.5M, yaani yeye alipe 1.25M, anapewa meals and accodation 2M kwa mwaka, no research, no stationaries no special faculty hapa wanasema wamemuwezesha huyu kweli ama ni ulaghai na ugaigai tu.
Serikali ijitafakari.