Hivi mbona maji ya Uhai, Afya au Pangani hayanywewi kwenye hafla kubwa? Maji ya Kilimanjaro yana nini?

Kiukweli maji ya kili hua ni mbovu sana wameyachakachua mno..sema brand ya jina..pia wachaga wezi wananunua tenda kwa kuhonga pesa ili wauze maji..ila kiufupi bora ninywe maji ya mto.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona hata Hill water ni mchaga, dhana ya uchaga na ukabila unaweza kuiondoa hapo. Njoo na hoja yenye mashiko zaidi.
 
Kiukweli maji ya kili hua ni mbovu sana wameyachakachua mno..sema brand ya jina..pia wachaga wezi wananunua tenda kwa kuhonga pesa ili wauze maji..ila kiufupi bora ninywe maji ya mto.

#MaendeleoHayanaChama
Wacha weee !!!
 
nakumbuka kama sikosei nilifundishwa kwamba water is taste-less.... huwa ni kilimanjaro tu nikinywa ndio napata hii character ya maji, mengine yanaladha kama unakunywa juice tu au soda....
 
Jibu rahisi tu angalia boss msimamia manunuzi au mwidhinishaji natoka mkoa gani wengi huwa wa Kilimanjaro huagiza maji ya kilimanjaro ,Ushahidi TFF hiyo hafla
 
hili jambo linashangaza, wakati kwa test maji ya Afya na Hill ndiyo yanaongoza.
 
Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF , pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau , Hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro.

Haya maji ya Uhai , Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kilimanjaro kinachoibeba ni brand iliyozoeleka kuonekana inatumika katika matukio makubwa, nje kidogo ya maada, kwemye makongamano ya katiba makamanda huwa mnatumia maji gani ? 😁
 
Hivi si kuna kichaa aliwaamuru hizi taasisi za umma watumie maji ya Uhuru?

Kwahiyo ndio kusema Watanzania wameamuwa kumkataa shetani na mambo yake?
Kichaa wako alikuachia tumbo na bado hujaenda kulishusha tu?

Ndio maana mods huwa wanakushughulikia
 
Yaani unataka Afyaa na hill na pangani walioibuka juzi tuu hapa walikamate soko na tenda zoote ktk haflaa za uma na privete
 
Back
Top Bottom