MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,848
- 3,570
Na label ikishaondoka ni aibu nyingine,watu wanahisi unakunywa kandoro ya chupa ya 200.Mkuu hivi hujawahi kupiga maji ya uhai au afya mara ile lebo ianguke yenyewe sijui gundi wanaweka ndogo, sasa maji gani unakunywa unashangaa lebo inaondoka na upepo wa feni