Hivi mbona maji ya Uhai, Afya au Pangani hayanywewi kwenye hafla kubwa? Maji ya Kilimanjaro yana nini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,261
219,485
Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF, pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau, hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro.

Haya maji ya Uhai, Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?
 
1. Brand kubwa kilimanjaro.

2. Watanzania tunaishi kwa mazoea mfano hata whitedent ni dawa yetu pendwa mpaka kufikia kampuni kuacha picha zile zile za matangazo zaidi ya miaka 17.

3. Huenda kampuni ya Bonite wapo vizuri katika kuchukua tenda maana hayo maji kwenye shughuli kubwa hayanunuliwi madukani ni kwa whole seller.
 
Back
Top Bottom