Kwa kuwa Mkuu amekamilisha hatua ya kwanza ya kuwawajibisha wateule wake waliomuangusha, swali ninalojiuliza kwa watu walioacha madaraka kwa fedheha je, wanastahili kulipwa mafao ya kustaafu kama watumishi walifanya utumishi uliotukuka? Au nao itachukuliwa kuwa na ajali ya kisiasa tu kama ya EL?