Hivi Mawaziri waliovuliwa Uwaziri Watalipwa Mafao Yao?

kibunda

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
403
52
Kwa kuwa Mkuu amekamilisha hatua ya kwanza ya kuwawajibisha wateule wake waliomuangusha, swali ninalojiuliza kwa watu walioacha madaraka kwa fedheha je, wanastahili kulipwa mafao ya kustaafu kama watumishi walifanya utumishi uliotukuka? Au nao itachukuliwa kuwa na ajali ya kisiasa tu kama ya EL?
 
Kuondolewa kazi ya uwaziri si kustaafu. Hawa wataendelea kuwa wabunge. Mimi sioni mantiki ya kuwalipa mafao kwa sababu bado wataendelea kuitumikia serikali.
 
Kisheria wanakiwa kufilisiwa, ila kwa watz ni upepo tu utapita kama EL
 
Abari ya kulipwa atutaki kusikia kwanza waachie wadhifawao mpaka ubunge alafu wakutane na vyombo vya Sheria wanazo pesa nyingi sana.
 
Walipwe kwa kitu walichokifanya??? Hawa wanatakiwa kupelekwa mahakamani na kufilisiwa....Jela hazikujengwa kwa ajili ya wezi wa kuku, mbuzi etc. zilijengwa kwa ajili ya watu kama hawa UFISADI NI ZAIDI YA WIZI WA KUKU!
 
Aliye nacho huongezewa...
 
usijali hao ambao wameachwa tutawapa adhabu ya kuwa mabalozi nchi za nje !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom