Hivi Luhanjo,Jairo, Ngereja na Malima Wanasubiri nini kujiuzuru?

Kwangu binafsi nilijua ile siku ya jumamosi jioni wangekuwa wamemaliza mchakato wa kujiuzuru kwa jinsi walivyo ihujumu Tanzania. Lakini mpaka saa hivi kimya au ndio kanyaga twende Watanzania ni wepesi kulalama na kusahau

wanasubiri kutemewa mate mbele ya aliyewateua....
 
Kwangu binafsi nilijua ile siku ya jumamosi jioni wangekuwa wamemaliza mchakato wa kujiuzuru kwa jinsi walivyo ihujumu Tanzania. Lakini mpaka saa hivi kimya au ndio kanyaga twende Watanzania ni wepesi kulalama na kusahau

Kwa uroho wa madaraka walionao Watajiuzuru 2015 tena wakipenda
 
Kwangu binafsi nilijua ile siku ya jumamosi jioni wangekuwa wamemaliza mchakato wa kujiuzuru kwa jinsi walivyo ihujumu Tanzania. Lakini mpaka saa hivi kimya au ndio kanyaga twende Watanzania ni wepesi kulalama na kusahau

Hakikwanza, hebu nipe sababu ya hao uliowataja kujiuzulu. Wamefanya kosa gani ? Mbona huyo Luhanjo alituambia kuwa ni kawaida kwa wizara kufanya ililolifanya Wizara ya Niishati ? Sasa kama ndio utaratibu wa serikali basi hawana makosa hawa kwani hawakwenda nje ya utaratibu. Sana sana kama Jairo hangefanya aliyoyafanya labda angejikuta anapoteza wadhifa wake, naam ndivyo serikali ya CCM inavyofanya kazi !

O.k. tuchukulie kuwa alilofanya Jairo lilikuwa kosa, je kosa kama hilo adhabu yake yafaa iwe nini ? Binafsi naamini adhabu yake ni kufukuzwa kazi lakini huyu hakufukuzwa ila badala yake aliundiwa tume. Tume ya Bunge imethibitisha kuwa kosa lilifanyika na kutoa mapendekezo kwa serikali lakini serikali mpaka dakika hii iko kimya. Sasa kosa la hawa waliopatikana na makosa ni nini ? Mhalifu anapopatwa na kosa hufanywaje ?

Labda Hakikwanza unataka huyo mhalifu ajihukumu kwa kupatikana na kosa, hiyo mbona haiingii akilini ? Hawa wote ni wateuliwa wa Raisi na bila shaka Raisi amekuwa akifuatilia kwa makini hili jambo toka siku ya kwanza, mbona yuko kimya ? Raisi yuko kimya, serikali iko kimya, Pinda yuko kimya, Mwanasheria Mkuu wa serikali yuko kimya na Mkuu wa Polisi yuko kimya - kwa nini Luhanjo, Jairo, Ngeleja na Malima ndio wapige kelele ?
 
Rais amekuwa too soft and slow...

Very much boring
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom