lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Rejao mawazo yako ni ya wengi maana zaidi ya 98% ya CCM hudhania hivi. Na tunashukuru Mungu kuwa haya mawazo yamefanya kazi kwa zaidi ya miongo miwili ili kulinda na kudumisha 'amani iliyopo' - amini usiamini!
Wanafuata ushauri waliopewa, nafikiri ulisikia kutoka kwa most of MPs kuwa wasijiuzulu, kujiuzulu siyo suluhu ya matatizo ambayo yalitokea. Tusubiri...soon something will happen!