Kwa style hii post inatosha, hakuna haja ya kujaza server.Mi ntakuanzishia we nifurahishe tu nikifurahi nakuanzishia
Jr. . Naughty?Embu lete ushahidi.I like the sturbon part.......i gues you forgot the naughty.......Lol!
Nimesha mtongoza.. ...
Asante Hashy! Mambo mengine vipi?bado natafuta maneno sahihi ya kuandika......sitaki uzi huo uwe ka mingine.
Hata wanawake tunamzimikia pia!
Luckily I'm such a content person!
Lizzy!!ngoja ni m,PM!nitakuja baadae..Mx
Nimtaje nani Ivuga?funguka zaidi..mtaje
Ni binti mzuri sana anavaa kuolewa,anamacho ya kurembua.
May b bz anawatch movies a lot,read magazines a lot n browse a lot so tht makes her up to date.. jas guesing though....
Thanx! ...there's an exception to every rule though...!!Hongera kwa hilo.
...
14 days za kutengeneza ushahidi ehhhh?Hya ntathibitisha nipe 14 days, unataka kwa maandishi hard copy au presentation ya ppt?