Hivi kweli inaingia akilini.....

Aibu jamani.................akifikiria madudu yake hawezi angalia wananchi wake usoni HATA KIDOGO
 
hakyamungu. Leo pia yamenikuta.

Tatizo wewe ulikuwa unategemea hilo litokee ndo maana uka notice..
Kwa mantiki hiyo umeshiriki kwa namna moja au nyingine kuyahamishia macho ya huyo mtu sehemu tajwa hapo juu,, Lol
 
mimi nikisalimiana na mtu nampa mkono namwangalia usoni. Kama tumekutana tu njiani tunaweza kuongea huku tumeshikana mikono na usoni nakuangalia hivyo inakuwa rahisi kuona uelekeo wa macho yako..
 
Haya Bana, ingawa bado nimebaki na maswali ngoja nikae kimya...
Malizana na GT Kabakabana hapo juu kwanza..
 
halafu leo najisikia kujibu maswali yako tu.lol.

Kisa cha kunipania hivyo?
Sasa hebu niambie, ni kwa nini Jeikei hakumtazama machoni mdada wa kwenye picha?
Je unachokidhani wewe dhidi yetu sisi wanaume, kinaweza kuwa ndicho kilichopelekea macho ya Mhishimiwa kwenda arijojo?
 
duh! Ndio unaniuliza kweli! Nilikuwa natania tu. Amani ya bwana iwe nawe.
 
kweli umepania kunisumbua, lol
Ubarikiwe na Bwana wa Majeshi yote, ya ardhini, majini na mpaka angani..
 
Back
Top Bottom