Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
Ukiona mwanaume anagombania madaraka ya mkewe basi ujue ndo wale wanakula house maids zao, yani hous gl wa jirani aje kukuomba ufagio na chumvi wewe hee baba gani wewe. Na mama ndo nguzo ya familia, kwanza nimama wa watoto wako pia kashika jukumu la mama yako la kukulea wewe, kwa hiyo wewe na watoto wako wote mko mikononi mwake japo kua wewe ni kichwa cha familia. Na lazima umshirikishe mama kwenye maamuzi kwani siku zote mke hua anatoa maamuzi yenye manufaa zaidi ya baba, na ndio maana ikitokea bahati mbaya mke asiwe mwema, basi ujue familia nzima inaweza kuyumba sana mpaka kusambaa kabisa.