Heri lawama kuliko fedhea...demokrasia na ndoa wapi na wapi jamani?hizo elimu zenu hukohuko madarasani na maofisini siyo kwenye himaya yangu ktk ndoa takatifu..UPUUUUZI MKUBWA
this is what other people call inferiority complex! mwanamke, ndoa, demokrasia, elimu, ofisi na himaya ya mwanaume! inahusu??? ukitaka wa kumkalia kichwani katafute wale wasugua miguu saa 2 tu kajikwatua anaota jua chini ya mwembe akisubiri jioni kumpokea mume kifurushi ....!