Hivi kuvaa bikini ni UHUNI,,,,?

Hi' wanajamii!
Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,?
Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi huwa nafurahi sana kumuona mtoto wa kike akiwa ameivaa.
unamuonea wapi huyo mtoto wa kike!!
 
Mi sina utaalamu wa nguo...ila nayovaa inanifit vizuri tu. Hizo specification nyingine mi sizijuagi..ndio maana naita bikini.

Sasa kama inapita juu ya t.a.k.o ...mleta mada mbona ameona ni big deal? Au na yeye ni mwenzangu na mie ana generalize tu.
mtoa mada amemisuse the term bikini...a bikini is a two piece swimsuit yani piece moja sidiria,piece nyingine chu*i...a bikini underwear ndo hizi ambazo twavaa ndani zinazofunika sehemu kidogo ya t*ko...thong ni zile ambazo kwa nyuma kuna material nyembamba about 2 inchez or less...and when the material is so thin inaitwa g-string...
 
Sasa mchina wangu picha sijui nawekaje. Ila asante kwa kumuelimisha.
sasa mtoa mada, unaulizia kipi tukujibu? Manake zote ni sahihi, zikitumika mahali, wakati na kwa style inayofaa. Kongosho, hakuna raha kama kuvaa tong, unapunga upepo mwanzo mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani tunahitaji kutofautisha maana ya bikini, tong na g-string.
Nadhani wengi wetu inatusumbua hapo. Picha tafadhali Mtambuzi ama Asprin!

Carmela-african-beautiful-girls-bikini-wear_500.jpg

Bikini, acha picha iongeee................
 
mtoa mada amemisuse the term bikini...a bikini is a two piece swimsuit yani piece moja sidiria,piece nyingine chu*i...a bikini underwear ndo hizi ambazo twavaa ndani zinazofunika sehemu kidogo ya t*ko...thong ni zile ambazo kwa nyuma kuna material nyembamba about 2 inchez or less...and when the material is so thin inaitwa g-string...

Nyota Malaika:
Umeongeza kitu kikubwa sana kwenye mind yangu.
THENX'
 
Back
Top Bottom