Hivi kuvaa bikini ni UHUNI,,,,?

kila vazi huendana na madhari...huwezi kuta mtu kavaa bikini then anakatiza mitaani. Vazi hilo huvaliwa sehemu husika kama kwenye fukwe,katika mabwawa ya kuogelea, mashindano mbalimbali kama ulimbwende,beach volleyball,chumbani au sehemu ya faragha. Sasa baada ya kujaribu kuyabainisha hayo mazingira binafsi sio mahali panapotoa picha ya uhuni
 
Hi' wanajamii!
Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,?
Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi huwa nafurahi sana kumuona mtoto wa kike akiwa ameivaa.

Ni vazi tu kama yalivyo mavazi mengine ya kusitiri sehemu nyeti. Vazi hili halina uhusiano na tabia ya mtu. Hujawahi kuona watu wanavaa mavazi ya heshima lakini ni wahuni kuliko? Tunaweza kugeneralize kuwa mavazi ya heshima ni uhuni hapo? Tafakari.
 
kila vazi huendana na madhari...huwezi kuta mtu kavaa bikini then anakatiza mitaani. Vazi hilo huvaliwa sehemu husika kama kwenye fukwe,katika mabwawa ya kuogelea, mashindano mbalimbali kama ulimbwende,beach volleyball,chumbani au sehemu ya faragha. Sasa baada ya kujaribu kuyabainisha hayo mazingira binafsi sio mahali panapotoa picha ya uhuni

Well said watu8
 
Last edited by a moderator:
Context ni mwilini mdau!
Sasa chumbani bikini ya nini tena wakati anapaswa kuvaa kanga moko?

unaonaje bikini mtu akaja nayo ofisini?
Au akapanda kwenye daladala ameivaa?
Katika maumbile ya mwanadam, kuna sehemu za mwili anatakiwa azione mkeo/mumeo tu na sio watu wengine.
Kunyume chake ni kuwapapa watu wakati mgumu na kuwashawishi kutenda maovu.
 
Sasa nguo ya ndani inahusiana vipi na tabia ya mtu,mi kwangu hiyo ni chu... ya kawaida tu ya kuvaliwa popote coz sio kwamba ukivaa utatembea uchi,inasaidia pia kwenye baadhi ya nguo kukaa vizuri,na pia haya ya kufika magotini na joto lote hayafai,unavaa tu kadogodogo easy to wear,,,,,ee
 
uhuni ni tabia ya mtu haina uhusiano na bikini

naomba kueleweshwa, hivi tunapozungumzia tabia tunahusisha kitu gani?
Nionavyo mimi, tabia inahusisha mtu anavyova, kuongea, kutembea, kula, mahusiano yake na watu na matendo yake ki ujumla.
Naamini kila jambo analofanya mwanadamu lina tafsiri tabia yake ilivyo. Lakini wakati mwingine tabia pia inaendana na umri na majukumu/nafasi ya mtu ktk jamii husika.

Mfn: unapokutana na mtu wa makamo kama umri wa mzee makamba kavaa suruale ya jinsi chini ya kiuno na raba mtoni huku katoga sikio moja na kuweka hereni utashangaa tofauti na unapo kutana na kijana kafanya hivyo.
 
Umeona eeh

Hiyo ni nguo ya ndani. Whether mtu kavaa bikini au boxer how can you judge wakati hutaiona???

Mimi nafagilia sana bikini kwa sababu kwa wadada wanaojua mavazi...ukivaa pichu za kawaida afu una mwili fulani from average tu kibonge...lazima ramani ya ilipopita pichu ionekane kwa nje. Lakini bikini hakuuu...hakuna atakayeona ramani hata uamue kuvaa skin tight.

Mimi huwa sipendi mtu aone pichu ilipopita hence bikini ndio swaga zangu. Na hutajua kama nimeivaa. Ni siri yangu na baba nanii..On top of that one feels more sexy in it kuliko boxer.

Ina maana watu wanakatiza mitaa ya sanamu ya Bismini na bikini?.
 
Eee bwana mmmh kuna wengine wanavaa ndio kwa ajili ya (kambi popote) nadhani nimeeleweka hapo kwenye mabano, na kuna wengine wenzangu na mimi tunavaa endapo pale 2 tunapokutana na wapenzi we2.
 
Hiyo ingekuwa ni true kama pichu za kawaida zingekuwa na kofuli kwamba ni ngumu kuvua.
Lol.

Eee bwana mmmh kuna wengine wanavaa ndio kwa ajili ya (kambi popote) nadhani nimeeleweka hapo kwenye mabano, na kuna wengine wenzangu na mimi tunavaa endapo pale 2 tunapokutana na wapenzi we2.
 
Umeona eeh

Hiyo ni nguo ya ndani. Whether mtu kavaa bikini au boxer how can you judge wakati hutaiona???

Mimi nafagilia sana bikini kwa sababu kwa wadada wanaojua mavazi...ukivaa pichu za kawaida afu una mwili fulani from average tu kibonge...lazima ramani ya ilipopita pichu ionekane kwa nje. Lakini bikini hakuuu...hakuna atakayeona ramani hata uamue kuvaa skin tight.

Mimi huwa sipendi mtu aone pichu ilipopita hence bikini ndio swaga zangu. Na hutajua kama nimeivaa. Ni siri yangu na baba nanii..On top of that one feels more sexy in it kuliko boxer.

unavaa boxer pia?
 
i think hizo unazovaa wewe ni thong because bikini underwear inapita juu ya t*ko so mistari bado itaonekana...
 
Mi sina utaalamu wa nguo...ila nayovaa inanifit vizuri tu. Hizo specification nyingine mi sizijuagi..ndio maana naita bikini.

Sasa kama inapita juu ya t.a.k.o ...mleta mada mbona ameona ni big deal? Au na yeye ni mwenzangu na mie ana generalize tu.

Back
Top Bottom