Kuna kitu nilikuwa najiuliza kuhusu uhusiano wa wapendanao ambao familia zao ni marafiki (family friend), hivi inakubalika hao wapendanao kufunga ndoa? maana ni kitu ambacho sijawahi kushuhudia kwa upande wangu.
It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..
It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..
Shukrani mkuu,chukua thanks nimekupatia!Kama umependa kweli,go ahead kaka.mungu akutangulie
Au siyo, tupo pamoja sana!usijali papa ,tuna saidiana,
Ni kweli ni kitu kizuri, tunafahamiana, na ndugu zake pamoja waazi wake ni kama ndugu na marafiki vile, shukrani sana kwa mchango wako Michelle! Chukua thanks mkuu!Ni kitu kizuri,kinadumisha uhusiano,lakini pia unaoa/olewa sehemu ambayo unawafahamu vizuri members wa familia ya pili na kwa dunia ilipofika sasa,ni vyema ikawa hivyo.
Siku zote shukuru kilicho kizuri ama kibaya, vyote vinakujenga kwa namna moja ama nyingine, nilichokipata kipya kutoka kwako ni kushawishiwa, sijashawishiwa, imeangukia automatically bila kutarajia! chukua thanks kama kawaida dada yangu!Unagawa thanks kama pipi aiseee?!Haya na mimi nakushauri kama umependa/mmependana go ahead!Inaunganisha familia zenu kutoka kwenye urafiki mpaka kwenye undugu.Ila usifanye kwa kushawishiwa....
Anagawa thanks kama pipi? teh! teh!Unagawa thanks kama pipi aiseee?!Haya na mimi nakushauri kama umependa/mmependana go ahead!Inaunganisha familia zenu kutoka kwenye urafiki mpaka kwenye undugu.Ila usifanye kwa kushawishiwa....
Si unajua hapa kwa Great Thinkers, amefaidika na ushauri. Kuonyesha kwamba ni mstarabu anashukuru, 'Thanks'. Furaha imezidishwa zaidi kwa ushauri mwingi ambao umeengemea upande wa kupata, Upande wa Furaha.Anagawa thanks kama pipi? teh! teh!
Wewe kichwa mingi sana!!Si unajua hapa kwa Great Thinkers, amefaidika na ushauri. Kuonyesha kwamba ni mstarabu anashukuru, 'Thanks'. Furaha imezidishwa zaidi kwa ushauri mwingi ambao umeengemea upande wa kupata, Upande wa Furaha.
yaani kama umempenda umuoe ni wengi wanaoana kwa style hiyoEeeeh dah umenipigia tafu ya nguvu aisee, nimekupatia thanks hapo kaka!