Hivi kuoa/olewa kutoka family friend ni sahihi?

Haina tatizo bhanaa, u just procede with other arrangements. Ucwe na was juu ya kitu chochote bwana. Tena kuoa ktk family friend safi sana, mnakua mshasomana tabia tayari!
 
Kama umependa mwenyewe bila kushinikizwa ni poa sana. Mimi nilishaona ndoa za hivyo ila nyingi unakuta wazazi wana initiate ndio maana zinaishia pabaya.
 
Asanteni sana kwa michango yenu, nimewapeni zawadi ya thanx wakuu!
 
Kuna kitu nilikuwa najiuliza kuhusu uhusiano wa wapendanao ambao familia zao ni marafiki (family friend), hivi inakubalika hao wapendanao kufunga ndoa? maana ni kitu ambacho sijawahi kushuhudia kwa upande wangu.

Sioni tatizo Mkuu, kama unataka kumzukia mtu ambaye ni family friend kila la heri. Hicho kitu kipo sana tu.

Last edited by a moderator:
Ni kitu kizuri,kinadumisha uhusiano,lakini pia unaoa/olewa sehemu ambayo unawafahamu vizuri members wa familia ya pili na kwa dunia ilipofika sasa,ni vyema ikawa hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
inawezekana hakuna kinachoshndikana tena inatokea kudondokea kwenye mapenzi bila hta kujua wakati mwingne so kwa upande wangu inawezekana !!!
 
It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..

Umetumia busara sana, hata mimi nimenufaika sana na ilmu hiyo!
Safi sana.
 
It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..

Kwanini ulinde urafiki wa familia baada ya kuoa? kwani urafiki unaenda wapi?khaaah...ukioa/olewa, ndoa yako ni kipaumbele mana hapo ndiyo unajenga familia yako..vilevile nafasi muhimu kama za wazazi, ndugu, family friends nk. uzitambue umuhimu wake..
 
Unagawa thanks kama pipi aiseee?!
Haya na mimi nakushauri kama umependa/mmependana go ahead!Inaunganisha familia zenu kutoka kwenye urafiki mpaka kwenye undugu.Ila usifanye kwa kushawishiwa....
 
Ni kitu kizuri,kinadumisha uhusiano,lakini pia unaoa/olewa sehemu ambayo unawafahamu vizuri members wa familia ya pili na kwa dunia ilipofika sasa,ni vyema ikawa hivyo.
Ni kweli ni kitu kizuri, tunafahamiana, na ndugu zake pamoja waazi wake ni kama ndugu na marafiki vile, shukrani sana kwa mchango wako Michelle! Chukua thanks mkuu!
 
Unagawa thanks kama pipi aiseee?!Haya na mimi nakushauri kama umependa/mmependana go ahead!Inaunganisha familia zenu kutoka kwenye urafiki mpaka kwenye undugu.Ila usifanye kwa kushawishiwa....
Siku zote shukuru kilicho kizuri ama kibaya, vyote vinakujenga kwa namna moja ama nyingine, nilichokipata kipya kutoka kwako ni kushawishiwa, sijashawishiwa, imeangukia automatically bila kutarajia! chukua thanks kama kawaida dada yangu!
 
Unagawa thanks kama pipi aiseee?!Haya na mimi nakushauri kama umependa/mmependana go ahead!Inaunganisha familia zenu kutoka kwenye urafiki mpaka kwenye undugu.Ila usifanye kwa kushawishiwa....
Anagawa thanks kama pipi? teh! teh!
 
Na hapo sitarajii kusikia munaanza kuchuguzana tena kwa sababu mnajuanaaaa. Hapo ni kuingia na gia ya kuchukua moja kwa moja ukiwa unamaanisha.
 
Anagawa thanks kama pipi? teh! teh!
Si unajua hapa kwa Great Thinkers, amefaidika na ushauri. Kuonyesha kwamba ni mstarabu anashukuru, 'Thanks'. Furaha imezidishwa zaidi kwa ushauri mwingi ambao umeengemea upande wa kupata, Upande wa Furaha.
 
Wewe kichwa mingi sana!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom