Hivi kuoa/olewa kutoka family friend ni sahihi?

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Kuna kitu nilikuwa najiuliza kuhusu uhusiano wa wapendanao ambao familia zao ni marafiki (family friend), hivi inakubalika hao wapendanao kufunga ndoa? maana ni kitu ambacho sijawahi kushuhudia kwa upande wangu.
 
It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
It's fine ..lakini kumbuka baada ya ndoa utakuwa na kazi mbili, moja kulinda ndoa yako na ya pili kulinda urafiki wa familia...Lakini, usisahau msemo usemao..mshika mawili..mmoja ..umponyoka..
Aisee! kumbe ni kitu ambacho kinawezekana eeh!? maana nlikuwa najiuliza kweli khs hili! Asante sana kwa mchango wako mkuu!
 
Inawezekana na binafsi naona ni jambo zuri sababu mtakuwa mnajuana. Ila shida ni pale ndoa ikivunjika basi inaathiri hata hayo mahusiano ya familia husika
 
Ok! kumbe ni jambo zuri, sikuwahi kushuhudia haya mahusiano, nadhan hata ndoa ikiwa na matatizo ni rahisi kuweka mambo sawa!
 
yaani hii ni bomba sana unakuwa umemuoa sio tu mke bali rafiki pia ambae unamjua sana kuanzia mnakua mpaka amekua mtu mzima, tabia zake pia na anapenda nini na anachukia nini,,,,,oa tu mopao
 
Eeeeh dah umenipigia tafu ya nguvu aisee, nimekupatia thanks hapo kaka!
 
ni vizuri sana ,kwani kuoa sehemu ,unayo ijua unakua unapata kujua wale watu vip wana behave, usije kwenda posa sehemu kumbe wakorofi watukanifu,but sehemu una wafahamu lazima utajua ni watu wa aina gani,
 
Asante sana Wahida! Nimekupa thanks mkuu!
 
Papaa hiyo haina tatizo kabisa..Urafiki unadumu zaidi!..Pia unakuwa umewafahamu watu kwa kipind kirefu, kuanzia unaetaka kumuoa na familia yake nzima..
 
Nadhan itakusaidia hata ukapewa kakipande ka ardhi ile mjenge....na ka starlet pia
 
Back
Top Bottom