Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,046
1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia

2. Wanyiramba: Viburi sana

3. Waha: Wabishi tukuka

4. Wanyaturu: Wezi mno

5. Warangi: Wachawi

6. Wakerewe: Walafi

7. Wanyamwezi: Washamba sana

Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini Tanzania lisilo na Kasoro yoyote ile.
 
Back
Top Bottom