Hivi jimbo la Kisarawe lina Mbunge?

tatizo la kisarawe ni wazee wa kiswahili waishio maeneo hayo, kuna mikutano ya ndani huwa inafanyika na jafo uwarubuni kwa vitu vidogo nao ulainika na kujisahau.tatizo kubwa ni maji barabara nna mwaka na nusu hapa makurunge lakini cha moto nakiona
 
Hili jimbo hakuna kitu mbunge kilasiku yupo anahamasisha maendeleo kwenye majimbo mengine, sidhan kama Mh Simbachawene jimboni kwake kupo kama kisarawe
1. Hospital ya kisarawe na masaki watu wanakufa kilasiku hakuna dawa hakuna vipimo ninaushuhuda ndugu zangu sio chini ya watatu wamekufa kwa huduma mbovu kabisa.

2. Barabara ndo msiba nadhan kuna ufisadi mkubwa sana .... barabara inajengwa kilomita tatu mwaka mzima kama sio uhuni ni nini?.

3. Maji ndo sio jambo la kuzungumza

4. Halmashauri ya bomani kazi kubwa wanayofanya na kuanzisha miradi tu ya kuuza viwanja na mashamba.

5. Elimu pia tukonyuma nashangaa tumewazidi vp Lindi.

Ni aibu kwa naibu waziri wa TAMISEMI kuwa na halmashauri maskini kuliko zote.

CUF ndio chama kinachoweza kuchukua jimbo waweke mgombea makini ila kwa hali ilivyo hata CHADEMA wananafasi kubwa. KARIBUNI

Tukutane 2020
 
Don't misquote. Walisema watashirikiana na wananchi katika kutatua matatizo yao. Lakn ni kweli kwamba hatujui kazi za wabunge kweli au tunajitoa ufahamu tu????
Mimi nilihudhuria mikutano kadhaa ya huyu mbunge na alitamka wazi kuwa atajenga barabara toka Kisarawe mpaka Chole,alisema angeongea hospitali zingine 15 zenye kuchukua wagonjwa takriban 300 kwa kila wodi, alisema tungepata maji safi na salama kwenye kila kata, Alisema angetuletea umeme kwenye kila kijiji, alisema ataifanya Kisarawe kuwa kama KONZA CITY au SILICON VALLEY ya Tanzania na bila kusahau alisema kuwa atatuletea maendeleo yatakayoifanya Kisarawe kuwa the most developed jimbo kuliko majimbo yote ya mkoa wa Pwani...yote hayo alisema angeweza kutekeleza kwa muda wa mwaka mmoja.
 
Na wewe ukaamini??
 
Hili jimbo hakuna kitu mbunge kilasiku yupo anahamasisha maendeleo kwenye majimbo mengine, sidhan kama Mh Simbachawene jimboni kwake kupo kama kisarawe
1. Hospital ya kisarawe na masaki watu wanakufa kilasiku hakuna dawa hakuna vipimo ninaushuhuda ndugu zangu sio chini ya watatu wamekufa kwa huduma mbovu kabisa.

2. Barabara ndo msiba nadhan kuna ufisadi mkubwa sana .... barabara inajengwa kilomita tatu mwaka mzima kama sio uhuni ni nini?.

3. Maji ndo sio jambo la kuzungumza

4. Halmashauri ya bomani kazi kubwa wanayofanya na kuanzisha miradi tu ya kuuza viwanja na mashamba.

5. Elimu pia tukonyuma nashangaa tumewazidi vp Lindi.

Ni aibu kwa naibu waziri wa TAMISEMI kuwa na halmashauri maskini kuliko zote.

CUF ndio chama kinachoweza kuchukua jimbo waweke mgombea makini ila kwa hali ilivyo hata CHADEMA wananafasi kubwa. KARIBUNI

Tukutane 2020
Hosptal ya kisarawe jaffo kalet standing jenereta uhakika wa umeme n 24/7, kajenga motuary kwenye uongoz wake na hosptal zote kazipa ambulance hzo ulizo zitaja na moja haina zaid ya miez....na hosptal ya kisarawe kuna majengo mapya ya wodi

Istoshe kwenye elimu jaffo foundation inasomesha watoto wengi sana data ntaleta hapa

Barabara kisarawe yote mjn kunawekwa lami na stand imehamishwa na inajengwa mpya stand chin ya jaffo

Na hakuna mbunge anaye tembelea jimbo lake kama sulemain jaffo nchi hii maana mara kwa mara anatwmbelea jimbon kwake inabd wabunge wengine waige kwake maana anaonesha maana halisi ya uwakilishi

Maji anajtahd sana ila tusisahau kisarawe ipo kwenye high plateu kama wilaya za newala kwahyo ni wilaya ambazo maji yanasumbua wataalamu wa jolojia na hydrology wanaelewa hili ila suleiman jaffo anapambana sana akijua umuhmu wa maji na kisarawe inakimbia mwendo mzur chini ya jaffo

Hongera suleiman jaffo kisarawe niya jaffo na jaffo niwa kisarawe
 
Naamini kuwa hii ni wilaya/jimbo ambalo ni maskini kuliyo yote Tanzania

Hivi wana kisarawe mnashindwa kumput to task huyo mbunge wenu (kama yupo)?

Mambo ya musing kama Maji, Umeme, Barabara na Afya ni non existent kwenye hili jimbo

Kama mmeshindwa kwa nini mnashindwa kumshitakia kwa Rais au kwenye vyombo vya habari?

Kama mmeshindwa kabisa kwa nini msimpe jimbo lenu Mchagga au watu kutoka Mbeya au Iringa ili wawaletee maendeleo?

Sielewi huyu mbunge wa Kisarawe anashindwa vipi na wabunge wa Kibaha, Bagamoyo na Mkuranga ambao sio mawaziri

au tumeleaaaniwa wana Kisarawe?

Acha uffala wewe si uhame wilaya ukaishi huko kwa mabwana zako mbeya na Kilimanjaro??..p..mbavu sana wewe
 
Hosptal ya kisarawe jaffo kalet standing jenereta uhakika wa umeme n 24/7, kajenga motuary kwenye uongoz wake na hosptal zote kazipa ambulance hzo ulizo zitaja na moja haina zaid ya miez....na hosptal ya kisarawe kuna majengo mapya ya wodi

Istoshe kwenye elimu jaffo foundation inasomesha watoto wengi sana data ntaleta hapa

Barabara kisarawe yote mjn kunawekwa lami na stand imehamishwa na inajengwa mpya stand chin ya jaffo

Na hakuna mbunge anaye tembelea jimbo lake kama sulemain jaffo nchi hii maana mara kwa mara anatwmbelea jimbon kwake inabd wabunge wengine waige kwake maana anaonesha maana halisi ya uwakilishi

Maji anajtahd sana ila tusisahau kisarawe ipo kwenye high plateu kama wilaya za newala kwahyo ni wilaya ambazo maji yanasumbua wataalamu wa jolojia na hydrology wanaelewa hili ila suleiman jaffo anapambana sana akijua umuhmu wa maji na kisarawe inakimbia mwendo mzur chini ya jaffo

Hongera suleiman jaffo kisarawe niya jaffo na jaffo niwa kisarawe

Huu nao ni ujjinga unajenga mortuary za kuhifadhia maiti wakati dawa hakuna hospitali??..na hizo barabara za lami kisarawe mjini unamaanisha nn?? Kisarawe ni mji??..eti jafo foundation!!..badala ya kuimarisha shule eti anawazuga na ki NGO..upuuzi mtupu..kifupi aliyetoa mada ni mpuuzi hajitambui na wewe nawe ni zumbukuku unasifia mortuary!!..wote hamjielewi...habari ndio hiyo sina kambi na situmiki kisiasa
 
GROUP LA WAHSTAPP LA WANA KISARAWE linawaka moto kwa hii mada
JAFFO hana namna aweke wazi nini kimemsibu?
 
images

Mbunge wa Kisarawe (CCM) Mhe.Seleman Jafo
No wonder..,duh!
 
Nishamchoka huyu jamaa nitaanzisha petition ya kumwondoa
Naamini wewe ni kisarawe kweli, vijiji vya Chole, masaki, kazumzumbwe, maneromango etc.
Tatizo kubwa la (wengi) zingatia mabano, wengi japo sio wote wa wakazi wa kisarawe hawapendi kujibidisha, wana ardhi nzuri kwa kilimo lakini sio wakulima wazuri, kipindi cha nyuma wakati wa masika walikuwa hadi watimuliwe mtaani na migambo ndipo waende shambani.
Maranyingi serikali wanapotoa vipaumbele vya miundo mbinu huzingatia shughuli za uchumi hasa kilimo kwa ajili ya usafirishaji wa mazao nk.
Japo ni jukumu la serikali kuwapa wananchi wake huduma muhimu na wana Kisarawe wajibidishe kwa ajili ya kujikwamua kimaisha na kuleta maendeleo kwa taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom