Hivi jimbo la Kisarawe lina Mbunge?

Tatizo kubwa tumekalia waukae wakt ana faida yyote kutoka city centre clock tower mpk msanga sokoni ni km 85 lami tu imetushinda umeme maji ndio usiseme tunatia aibu sna
 
Naamini kuwa hii ni wilaya/jimbo ambalo ni maskini kuliyo yote Tanzania

Hivi wana kisarawe mnashindwa kumput to task huyo mbunge wenu (kama yupo)?

Mambo ya musing kama Maji, Umeme, Barabara na Afya ni non existent kwenye hili jimbo

Kama mmeshindwa kwa nini mnashindwa kumshitakia kwa Rais au kwenye vyombo vya habari?

Kama mmeshindwa kabisa kwa nini msimpe jimbo lenu Mchagga au watu kutoka Mbeya au Iringa ili wawaletee maendeleo?

Sielewi huyu mbunge wa Kisarawe anashindwa vipi na wabunge wa Kibaha, Bagamoyo na Mkuranga ambao sio mawaziri

au tumeleaaaniwa wana Kisarawe?
Inawezekana kweli ingelikuwa hivyo watu wengi wasingekuwa wanahamia uko.

Mbunge haleti maendeleo bali huhimiza maendeleo
 
images


Mbunge wa Kisarawe (CCM) Mhe.Seleman Jafo
Huyu hamna kitu kabisa,wana Kisarawe wamechemka hana tofaut na Mkullo Kilosa
 
Sasa mnalia nini nyie watu wa kisarawe ... Komeni Jafo ongeza speed kanyaga hapo hapo mpaka 2020 akili itakapowakaa sawa
 
Elimu ya uraia bado haijawafikia watu wengi.
Soma kwanza ujue kazi za Bunge na Mbunge.
Inashangaza Vijana kuja hapa na kuwalaumu wabunge kana kwamba wana bajeti kwa ajili ya miradi ya barabara na maji.
Ni wapi ulisoma Notice board ya miradi ya barabara ambapo Client akawa Mbunge.
Tuwe tunatafakari kabla ya kuja hapa. Malalamiko yanapaswa kupelekwa kwa wizara na mamlaka husika.
 
Back
Top Bottom