Hivi jimbo la Kisarawe lina Mbunge?

images


Mbunge wa Kisarawe (CCM) Mhe.Seleman Jafo
mbona hafananii na maendeleo ya jimbo lake! alafu huyu si waziri au ndo anashughulikia wizara hadi kasahau Jimbo lake.
 
kuna haja yakuweka vigenzo vyetu wananchi ili tuweze kukuchagua kuwa mbunge, lazima uwe na kimoja kati ya hivi.
tukifuata hivi vigezo tutafanikiwa sana huku majimboni.

1. Bank statement isome account balance 400mil na lazima tusibitishe nizakwako, hatujali namna ulivyozipata.
2. account isome 20mil za kwako + degree moja na kuendelea, chuo ulichosoma lazima kitambulike.
 
Hosptal ya kisarawe jaffo kalet standing jenereta uhakika wa umeme n 24/7, kajenga motuary kwenye uongoz wake na hosptal zote kazipa ambulance hzo ulizo zitaja na moja haina zaid ya miez....na hosptal ya kisarawe kuna majengo mapya ya wodi


Istoshe kwenye elimu jaffo foundation inasomesha watoto wengi sana data ntaleta hapa


Barabara kisarawe yote mjn kunawekwa lami na stand imehamishwa na inajengwa mpya stand chin ya jaffo


Na hakuna mbunge anaye tembelea jimbo lake kama sulemain jaffo nchi hii maana mara kwa mara anatwmbelea jimbon kwake inabd wabunge wengine waige kwake maana anaonesha maana halisi ya uwakilishi


Maji anajtahd sana ila tusisahau kisarawe ipo kwenye high plateu kama wilaya za newala kwahyo ni wilaya ambazo maji yanasumbua wataalamu wa jolojia na hydrology wanaelewa hili ila suleiman jaffo anapambana sana akijua umuhmu wa maji na kisarawe inakimbia mwendo mzur chini ya jaffo


Hongera suleiman jaffo kisarawe niya jaffo na jaffo niwa kisarawe
Naona mh mbunge umekuja moja kwa moja hongera
 
mngempa KINGWEDU sasa hivi jimbo lingekuwa hoyahoya kama MIKUMI mzee wa mituringa anavyolipeleka vema gurudumu la maendeleo
Hahahahaaaa.

Umeniwahi, nilitaka nimtaje kingwendu. Saiv tungekuwa tunapata hadi show ya kingwendu kule mjengoni.
Maana huyo sio wa kispot spot kabisa
 
Sasa kama wanashinda kwenye kucheza bao unafikiri watamwajibisha mbunge wao saa ngapi?
 
Ningependa kujua mnavyosena kuna shida ya umeme ni shida ya aina gani? Kukatika katika kila mara au usambazaji wa umeme ndo hamna? Na vipi maji yake ni ya chumvi au baridi?
 
Back
Top Bottom