Hivi JF kuna wife material kweli?

Honey Faith na Khantwe, hivi nani kawadanganya kuwa mnapendwa? Hivyo viserengeti vyenu ndio mnajidai navyo. Mtakapojitambua na kuwa na waume wenye hadhi ndio mtajua tofauti yake..

Weeeee Eli79 unamjua mume wangu wewe?Ni bonge la bwana atiii na ni mtu mwenye hadhi yake hapa tanzania
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa ......mwee tatizo hujawahi kupendwa ndio maana hujui mtu anayependwa anakuwaje....siku ukipendwa ndo utajua tofauti
kwa maana hiyo you mean visirengeti vinajua kupenda?
 
Back
Top Bottom