Hivi inawezekana kumpata yule hasa unayemfikiria?

ITSNOTOK

Member
Jul 19, 2011
44
10
Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri
 
Tafuta kitabu cha Shakespear "Romeo na Juliette" usome may be utajifunza mengi, kina majibu ya swali lako!
 
Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri

Ushauri mzuri..tafuta muda na usome post nyingi hapa MMU..kwani hilo suala limeongelewa sana na kuna siredi nyingine ziko "live" hapo nje..

Otherwise, Kama unataka "shortcut" weka CV au vigezo vya huyo unayemtafuta halafu usuburi mvua za comments, ila ujiandae kupokea mabomu mengine ambayo ukuyategemea na ambayo yanaweza kukuvunja moyo..(Fikra zangu tu..)
 
Wengi huwa hatuishii kwa wale tuwafikiriao, tunajikuta tumefall kwa watu wengine ambao wameishia kuwa wapenzi wazuri tu, kwa hiyo stop dreaming, there is a lot of love out there!jump out you'll enjoy the rest
 
Acha kuishi kwenye ndoto! Yaani unamwanamke ambaye yupo kichwani na ndiye huyo unayemsubiria!sikatai ni jambo zuri sana kuwa na ndoto za kuwa na mke unayedhani atakufaa kutokana na vigezo vyako lakini unadhani ni wangapi wamefanikiwa katika hilo? Vipi kama akitokea na msiendane kihisia!utalazimisha penzi au? Toka nje tafuta mwenye tabia zinazokubalika kwenye jamii tangaza ndoa halafu uone kama utajutia kama unavyoambiwa!
 
Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri

umdhaniaye ndiye kumbe siye.................na siyo kumbe ndiye........................kwenye mazingira yako ni majaribu ya subira yako ukishinda uhondo maridhawa upo karibu kukufikia..............tena unabisha hodi.................subira yavuta kheri.......................................ingawaje wakati mwingine ukikosa nayo ni baraka kwani hujui Muumba kakuepusha na mangapi.........................................hata kifo kabla ya muda wako..........hasa katika ulimwengu huu unaabudu uzinifu.....
 
jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri
hata mimi kuna mtu namfikiria ila nakutana na opposite wake tu hapo ndo inakuwa ngumu kabisa kwangu .ukifikiria mrefu wanakuja wafupi
ukifikiria mweusi anakuja mweupe
ukifikiria mzungu anakuja mchina hata sijui kwanini bwana TUSUBIRI HADI YESU AJE NAO TUNAOWATAKA
 
Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri

utangoja mpaka kiama.............achana na ndoto za kimweri hizo...
mzuri unamtengeneza wewe ebo......?
 
Muombe MUNGU kwa imani yako ndo utampata yeye aliyemuumba kwa ajili yako la sivyo utaingia chaka tu
 
Ni vizuri kuwa na ndoto,ila usiisubiri kwa kukaa tu bila kufanya kitu..chaguo lako lipo..shiriki sehemu za mikusanyiko(kanisani etc.) pata nafasi ya kuomba Mungu kwa jambo hili utafanikiwa tuu.
 
Dah,,,,kumpata mke si mchezo,japo wapo watu wanaobahatika kuwapata wenzi wao bila kutarajia na wanaish vizuri
 
Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri
Huyo unayemfikiria yuko aware kwamba unamfikiria? Na je una uhakika kwamba naye anakufikiria wewe? Utajaishia kukosa yote wewe!
 
Uzuri wa mwanamke sio sura ni tabia,achana na maswala ya umbo zuri,macho ya kurembua na kusinzia,sauti ya mnanda na chiriku,tafuta mwanamke tabia then utaenjoy.
 
hata mimi kuna mtu namfikiria ila nakutana na opposite wake tu hapo ndo inakuwa ngumu kabisa kwangu .ukifikiria mrefu wanakuja wafupi
ukifikiria mweusi anakuja mweupe
ukifikiria mzungu anakuja mchina hata sijui kwanini bwana TUSUBIRI HADI YESU AJE NAO TUNAOWATAKA
we unafikiria mi nikoje????
 
hata mimi kuna mtu namfikiria ila nakutana na opposite wake tu hapo ndo inakuwa ngumu kabisa kwangu .ukifikiria mrefu wanakuja wafupi<br />
ukifikiria mweusi anakuja mweupe<br />
ukifikiria mzungu anakuja mchina hata sijui kwanini bwana TUSUBIRI HADI YESU AJE NAO TUNAOWATAKA

haaaah haaah bebii umeua duh, tumsubiri Yesu! Haaah haaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom