Inakuwaje rais kupata kikohozi, hivi hana daktari wa kumchunguza? Hilo swali limekaa kiuchokozi, ingawa unataka kujua sababu zilizopelekea gari kuchomoka gurudumu. Hapo inabidi iundwe tume kuchunguza tukio hilo.
Nadhani ni swala linalowezekana kama gari limetembea sana kwenye rough roads. Sio rahisi kuwa kila nut kuwa imepitiwa kukazwa sawa sawa. Hata hivyo kuna uwezekano wa manufacturer error.
Hili swala la manufacturer error nimewahi kushuhudia gari jipya kabisa likiwa na piston moja haina mkono. Kweli kila mtu alistaajabu pale hiyo piston ilipopasua block.
Hivi hazifanyiwi ukaguzi,au kulikuwa na mkono wa mtu?,jana rais JK ziarani dar,alibadilishiwa gari mara mbili,baada ya gari ya pili kubadilishwa ilitembea kidogo na kuchomoka tairi
I suppose ur wife is not a president of United Republic of TanzaniaKwani gari ya Rais ina tofauti gani na Toyota Nadia ya my wife wangu mpaka isichomoke tairi??
Gari ya Rais kama gari lingine lolote lile linaweza kupata hitirafu.......so to me hii sio issue kabisa!!!
Kwani gari ya Rais ina tofauti gani na Toyota Nadia ya my wife wangu mpaka isichomoke tairi??
Gari ya Rais kama gari lingine lolote lile linaweza kupata hitirafu.......so to me hii sio issue kabisa!!!
this is so awkward. Someone has to be responsible.
kaka karibu,jukwaanihakiyamungu huyu bwana nilishasema siku nyingi ameingiza wahuni ikulu,pale kuna watoto wa kijiweni watamtoa roho.kwanza ratiba hazina mpangilio,hotuba za kubumba,sasa kwenye tairi wakifika kwenye msosi mi sipo.2010 tutafute presdaa mwingine.