AK-47
JF-Expert Member
- Nov 12, 2009
- 1,373
- 199
Nashukuru kwa michango yenu,mengi mliyoyaongea nitayafikisha kwa wahusika na watayafanyia kazi.
Sina uhakika sana na hapo kwenye red
Nashukuru kwa michango yenu,mengi mliyoyaongea nitayafikisha kwa wahusika na watayafanyia kazi.
hakiyamungu huyu bwana nilishasema siku nyingi ameingiza wahuni ikulu,pale kuna watoto wa kijiweni watamtoa roho.kwanza ratiba hazina mpangilio,hotuba za kubumba,sasa kwenye tairi wakifika kwenye msosi mi sipo.2010 tutafute presdaa mwingine.
Tuache kukuza mambo jamani. Hata ukiwa unacheki gari ya Rais kwa kiwango gani, bado huwezi kuondoa possibility ya gari kukorofisha. Hizo ni mashine tu jamani......!!
Binafsi naamini hii kitu inaweza kutokea, na ndo maana kwenye misafara ya Rais kunakuwa na gari ya dharula ili ikitokea gari anayotumia imekorofisha Rais anahamia kwenye gari nyingine na safari iinaendelea!!!
Tuache kukuza mambo jamani. Hata ukiwa unacheki gari ya Rais kwa kiwango gani, bado huwezi kuondoa possibility ya gari kukorofisha. Hizo ni mashine tu jamani......!! Binafsi naamini hii kitu inaweza kutokea, na ndo maana kwenye misafara ya Rais kunakuwa na gari ya dharula ili ikitokea gari anayotumia imekorofisha Rais anahamia kwenye gari nyingine na safari iinaendelea!!!
Matukio kama haya Rais wetu JK mwenyewe huwa anasema ni mipango ya Mungu. Sasa nyie humu mnapiga kelele za nini?
hatusupport hata kidogo hili neno naona kama sio Lugha fasaha ya Kitanzania kaka Zak
this is so awkward. someone has to be responsible.
Matukio kama haya Rais wetu JK mwenyewe huwa anasema ni mipango ya Mungu. Sasa nyie humu mnapiga kelele za nini?
Nakumbuka 1987 ilitokea kwa Rais wa Nigeria.....hitirafu katika gari iliyombeba mkuu wa nchi!!
Nasisitiza binafsi naona ni hitirafu za kawaida, wengine mna uhuru wa kufikiri tofauti.
Hivi hazifanyiwi ukaguzi,au kulikuwa na mkono wa mtu?,jana rais JK ziarani dar,alibadilishiwa gari mara mbili,baada ya gari ya pili kubadilishwa ilitembea kidogo na kuchomoka tairi
Shida ni kwamba he is responsible!:yuck:
Acheni kusupport vitu vya ajabu. Hivi within 30 Kilomitres breakdown mbili kwa magari mawili tofauti tunaona ni jambo la kawaida tu? Labda mimi ndiyo nina matatizo kuona hapo kuna tatizo.
Yani hii habari imeniharaibia siku.
JK - Sack them all, NOW!!!
Sio hao tu wa magari bali wote wanaokudanganya na kukuchuuza!!!
Mkuu anatumia Toyota Vx siku hizi Toyota wanavurunda magari yao wamesha zua matatizo makubwa kwenye magari yao
Is not true magari ya viongozi wakuu hasa marais huwa tofauti kidogo, mengi ni bullet proof na ukaguzi wake kabla ya safari ni tofauti na unaofanyia gari lako unaweza kuiona ni Toyota Nadia sawa na ya mai waifu wako lakini jaribu kupiga risasi kioo chake ni tofauti kabisa.Kwani gari ya Rais ina tofauti gani na Toyota Nadia ya my wife wangu mpaka isichomoke tairi??
Gari ya Rais kama gari lingine lolote lile linaweza kupata hitirafu.......so to me hii sio issue kabisa!!!