Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

"Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?

Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi."

Kweli kwa akili zako. Ila ziko chini sana. Ungeuliza ufafanuliwe.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Niulize mara ngapi sasa? Au hujui kusoma na kukielewa ulichokisoma?
 
Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.

Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.

Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa.

Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua, lawama zinaenda kwa usalama wa taifa!

Timu za mpira za Tanzania zisipofanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa, lawama kwa usalama wa taifa!

Ni mimi tu ambaye sielewi dhima nzima ya usalama wa taifa au inakuwaje?

Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?

Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi.

Kama wateja/ wanunuzi wanaona bidhaa fulani ni bora kuliko bidhaa ingine, basi wataendelea kuiunga mkono kwa kuinunua.

Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa.

Ubora wa bidhaa unatokana na ubunifu wa mzalishaji. Mzalishaji anapotengeneza bidhaa iliyo bora halafu akaitangaza kwa umma, umma huo ndo utaamua mafanikio ya hiyo bidhaa.

Sasa kama makampuni ya Tanzania hayatengenezi bidhaa zilizo bora kutokana na kushindwa kuwa wabunifu, lawama kwa usalama wa taifa zinahusikaje?

Hmm…..yawezekana ni mimi tu na hizi akili zangu za panzi ndo maana labda sielewi.

Wajuvi na wajuzi wa mambo nijuzeni, tafadhali.
Usalama wa Taifa kwa TZ kwanza ni wachache sana.

Halafu Muundo wao wa kikazi ni kwa summary unaweza kusema umekaa KIUMBEYA na KICHAWA na umeunganishwa kwa RAIS.

Kwa lugha rahisi, usalama wapo ofisi ya Rais kumsaidia Rais kwenye mambo yake na ikitokea Rais Hana mda na nchi na wao wanakuwa hivyo hivyo.

Ngazi ya Wilaya, wanasimamiwa na DSO ambao unakuta ofisini ni wachache. Kazi yao ni umbeya kutoka ofisi ya DC na Halmashauri kwenda juu hasa RSO.

Na umbeya Mara nyingi siyo wa kusaidia nchi, ni umbeya wa Mfanyakazi fulani hakuungi mkono,anakukosoa sana, mtu gani anasumbua, tajiri gani anafadhili watu wanaopinga utawala wake, au nani hayumo team yako ya uchaguzi.

Ni Ujinga ujinga tu
 
Aliyeleta mada alikuwa sawa ila aishindwa namna ya kuiwasilisha. FYI usalama wa nchi sio kuipigajia ccm ibaki madarakani (kama ilivo kwa sasa). Usalama wa nchi ni lidude lipana hivi? Mfano ukosefu wa fedha za kigeni unaweza sema ni ishu ya kiuchumi tu ila ni purely usalama na mfano wa pili upungufu wa chakula ni usalama wa taifa.
Usalama wetu ni more of political intelligence. Unawezaje kujenda reli kwa kuagiza chuma urusi ukaacha chuma Liganga hapo.

Hawa jamaa waweke kitengo cha Economic intelligence (na wasiwe UVCC watumie knowlegeable personel).

Fikiria mtu aingize mbegu za nyanya zisizoota na kwa fitina akazuia mbegu zingine zote. Nini kitatokea? Inshort hawa jamaa wanatakiwa kuwa wanafikiria mbele sio kuwa driven na matukio ya sasa.
 
Vitengo vya usalama vipo vingi..ila TISS ndio wenye hiyo kazi ya kudhibi watu wajanjawajanja kwenye kila sekta.

KUFIRISI MTU hatakama ni tajili kiasigani..ila kama utajili wako hauleweki vyanzo vyako au vyanzo vyako ni vya magumashi.

KUMSHUSHA MTU hatakama ni maalufu kiasi gani, kama umaalufu wako niwakuumiza watu, au umaalufu unaofikia kuleta madhala hadi kwenye utawala.

KWENYE MPIRA , utavurugwa endapo tu, uwekezaji wako kwenye mpira ni kama kivuri cha kujipatia faida binafsi au kufanya Biashara zingine ukijificha kwenye mpira.

Yoote haya hameasisiwa kwaajili ya watu kuishi kiumoja, amani, ushirikiano, na kuwaelekeza watu kutafuta mali halali na kujipatia kipato halali.

Uzuri chochote unachofanya kwenye uwekezaji MEMO LANDAM inaelekeza kisheria. Hasa eneo unalowekeza, kitu unachozalisha, ushirikiano na watu waliokalibu na eneo lako unalowekeza.

Hivyo ukijifanya mjanja kazi ya kukuminya inakua nyepesi kwao.na utashugulikiwa na watu wengine kabisa kama vile POLICE au TRA, nk
 
Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.

Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.

Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa.

Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua, lawama zinaenda kwa usalama wa taifa!

Timu za mpira za Tanzania zisipofanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa, lawama kwa usalama wa taifa!

Ni mimi tu ambaye sielewi dhima nzima ya usalama wa taifa au inakuwaje?

Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?

Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi.

Kama wateja/ wanunuzi wanaona bidhaa fulani ni bora kuliko bidhaa ingine, basi wataendelea kuiunga mkono kwa kuinunua.

Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa.

Ubora wa bidhaa unatokana na ubunifu wa mzalishaji. Mzalishaji anapotengeneza bidhaa iliyo bora halafu akaitangaza kwa umma, umma huo ndo utaamua mafanikio ya hiyo bidhaa.

Sasa kama makampuni ya Tanzania hayatengenezi bidhaa zilizo bora kutokana na kushindwa kuwa wabunifu, lawama kwa usalama wa taifa zinahusikaje?

Hmm…..yawezekana ni mimi tu na hizi akili zangu za panzi ndo maana labda sielewi.

Wajuvi na wajuzi wa mambo nijuzeni, tafadhali.
Tunaishi kwenye jamii ambayo haiwezi kuhoji kuanzia ngazi ya familia , ngazi ya kitaifa tunaambiwa tuhoji kwa staha aliyeiba pesa nyingi aitwe fisadi .Kwakifupi ukimfundisha mtu kitu leo kesho yake hakijui ukimuliza anakwambia mwalimu hujatufundisha ukimwambie afungue daftari lake anakishangaa amekiandika mwenyewe .Hata ukiwasikiliza wanaobishana mitaani hawabishani kwa hoja yaani uelewa wa watu wengi ni mdogo sana cha ajabu wanajiamini sana hata kama anachoongea ni pumba tupu
 
Hata humu JF wamo wanachungulia tunayoyaandika.

Kama jina linavyojieleza,wao ndo chanzo kikuu cha hali halisi ya nchi. Binafsi nahisi ni kwa sababu wao wana uwezo mkubwa wa kufikia kila aina ya taarifa inayohitajika na kufikishia taasisi husika.
Umeongelea bidhaa mfano za Kenya.
TRA ina kazi ya kudhibiti magendo. Waonapo bidhaa za Kenya madukani,hakika wana wajibu wa kujua zimeingiaje. Kwa maana ushuru umelipwa? Maana zikiingia kiholela,mapato ya serikali hamna. Na ikiwa hivo,hata siraha na ujangili na mambo mengine ya ovyo yatapita njia hio.

Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa: TBS ni kitengo cha taifa chenye jukumu la kusimamia ubora wa bidhaa watumiazo raia. Mfano nchi furani imeingiza kinywaji ambacho kinaweza kuwa na madhara kikitumiwa. Si alietengeneza anataka tu hela? Madhala yake kumbuka yataighalimu serikali. Kwa hiyo usalama wa taifa wanahusika kila kona uijuayo. Ni siri zao sisi hazituhusu,lakini utakuta kwenye kila tuhuma, na wenyewe wapo.
Unafaham ujasusi wa kiuchumi??
 
Sidhani kama wanadhibiti kila sehemu ya maisha yangu.

Mnawapa sifa ambazo hawana.
Kwa kifupi ukiona taifa lolote linayumba ujue Idara ya usalama ipo hoi na ndiyo maana kazi ya kwanza ya Rais akiingia ofisini asubuhi anaanza na faili la TISS.
Ata Israel yupo pale Middle East kwasababu
ya uimara wa Mosad na USA wanatamba kwasababu ya uimara wa CIA.
Kwaiyo ata Tanzania, tatizo la kuwa na viongozi wa ovyo tatizo ni TISS maana wao ndiyo wanatakiwa wafanye vetting ya uhakika.Kama kuna bidhaa hafifu za Kenya kwenye soko la Tanzania pia tatizo ni wao TISS kuruhusu Rais kuteua Mkurugenzi Mkuu wa TBS asiye na sifa na Bodi dhaifu achilia mbali Waziri wa Biashara asiyejua Biashara na michezo yake ya kihuni.
Kwa mfano;kama TISS wangekuwa strong Mwigulu asingekuwa Waziri wa fedha na wala Kitila Mkumbo asingekuwa Waziri wa Mipango kwasababu hawana rekodi yoyote ya kuwai kufanya Biashara yoyote walau ata kuwa ata Business consultants.Unamuachaje mtu kama Dr Charles Kimei kwenye Cabinet na unawapa kipao mbele akina Kitila Mkumbo?
"Information is power"

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mossad huwa wanadili na mambo ya nyanya na biringanya magengeni na unga na sukari kwenye maduka ya mangi?
 
Mkuu hujawai kusikia sukari au Mchele usiofaa kwa matumizi ya Binadamu umekamatwa?
Wewe un

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
We junya kweli!

Hiyo ni dhima ya TFDA.

What is the role of TFDA in Tanzania?

The objective of TFDA is to protect the health of consumers against hazards associated with food, drugs, herbal drugs, cosmetics and medical devices.
1699172352953.png

https://procedures.tic.go.tz › menu

Food and Drugs license from TFDA - Tanzania Investment Centre

Wao siyo kila kitu nchini.

Walio kila kitu nchini ni wananchi.

Bila wananchi, hakuna nchi.
Yaaani bro inasikitisha sana. Wanachi wa tz wanajiona mafala ndio maana huku JF kila mtu anataka kua usalama wa taifa
 
Usalama wa Taifa kea TZ kwanza ni wachache sana.

Halafu Muundo wao wa kikazi ni wa kwa summary unaweza kusema umekaa KIMBEYA na KICHAWA na umeunganishwa kwa RAIS.

Kwa lugha rahisi, usalama wapo ofisi ya Rais kumsaidia Rais kwenye mambo yake na ikitokea Rais Hana mida na wao wanakuwa hivyo hivyo.

Ngazi ya Wilaya, wanasimamiwa na DSO ambao unakuta ofisini ni wachache. Kazi yao ni umbeya kutoka ofisi ya DC kwenda juu hasa RSO.

Na umbeya Mara nyingi siyo wa kusaidia nchi, ni umbeya wa Mfanyakazi fulani hakuungi mkono,anakukosoa sana, hayumo team yako ya uchaguzi.

Ujinga ujinga tu
Asante Kwa kufafanua hili. Wabongo wengi hawawaelwi Hawa watu ndio maana wanaoana kama super heroes flani hivi ambao wapo Kwa ajili ya kuwasave wao na nchi.
 
Rwanda ina idara kamili sana ya usalama / ujasusi .
Kilicho nishangaza Zaid ni pale walivyo jipenyeza Hadi kuifanya Rwanda ndio iwe makao makuu ya AFL , Africa football league na Kisha ktk mabango ya mpira kila baada ya sekunde 10 neno " visit Rwanda linajitokeza

Wakaenda mbali Zaid ,club kongwe ya arsenal wameingia mkatba na rwanda kwa kuweka neno visit Rwanda katk bega la kushoto na matangazo kwenye mabango yapo kila second .

SASa jiulize Ni namna gani wanaweza mamb hayo wakt Tanzania tumewazidi rwanda kwa kila kitu

Lkn yote hayo Ni idara kamili ya ujasusi iliyo Bora ndani ya rwanda ndio maana kila eneo wanajipenyeza na kuchukuwa platform kubwa katka majukwaa ya kimataifa, sis bongo ujasusi wetu Ni kuiba tu Mali za nnchi na kufanya upopoyo na kuwa chawa kwa watawal

I wish I could be a president aise Kuna watu wangeteseka Sana snaa
 
Back
Top Bottom