Mwanakiloko
Member
- Feb 15, 2011
- 20
- 0
... Kwa kuiwa Rais wa Tz ndiye Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Majeshi yote..huyo Jamaa hapo Nyuma anambebea Rais vyeo vyake vyote ndio maana unaona ana vyeo vya ki-polisi, jeshi, jeshi la Maji na La Angani..
Uwepo wa huyo mjeshi ni ishara tu kwamba dola ipo na siyo kwamba ndiye anayetegemewa kwa kila kitu katika ulinzi halisi wa Mkuu wa Nchi. Wenyewe wapo na huwezi kuwajua kwa kuangalia hivyo wajameni.
TANMO.....samahani sana inaelekea wewe mwenyewe au jamaa yako wa karibu alikuwa akiwania nafasi hiyo na kuikosa....matokeo yake mwamwangushia kejeli...? mlikuwa wapi 6 yrs ndo muone sasa....?
ENDELEA BABA TENA IKWEZEKANA BADILI NA SARE UVAE ZILE ZA YANGE YANGE...!
Naombeni mnisaidie kidogo, hivi mvuto wa sura ndio unalinda au ni nini? maana naona kama tunajichanganya! Na Mh. Raia tangu lini anabeba mafaili jamani hebu tuwe wazi, hebu nenda pale polisi ushuhudie IGP na Makamishna wake wanavyofungliwa milango na kubebewa bag zao. Si polisi tu, wapo wengi tu, sasa kwa Rais si zaidi jamani, hebu tuwe realistic katika mambo mengine bwana
i agree with u 100%ignorance is not an individual's fault. Wana jf mliopitia jkt nisaidieni huenda nimesahau, lakini nakumbuka mojawapo ya masomo ya nadharia yaliyokuwa yakifundishwa ni pamoja na mambo ya intelligence (usalama wa taifa). Uwepo wa huyo mjeshi ni ishara tu kwamba dola ipo na siyo kwamba ndiye anayetegemewa kwa kila kitu katika ulinzi halisi wa mkuu wa nchi. Wenyewe wapo na huwezi kuwajua kwa kuangalia hivyo wajameni. Penye ukweli tuwe wawazi, ingekuwa hivyo basi viongozi wengi wangekuwa wanarestishwa in peace shaghalabaghala tu. Hiyo ni taaluma ya aina yake tulione hilo.
Mkuu hapo umekuwa biased, huyo mjeshi kaonekana ni mrefu kwa sababu Mkapa ni mfupi sana. Mlinganishe na hao wakoloni ndiyo useme.Halafu mfupi...not handsome...yule wa Mkapa namkubali
Mkuu hapo umekuwa biased, huyo mjeshi kaonekana ni mrefu kwa sababu Mkapa ni mfupi sana. Mlinganishe na hao wakoloni ndiyo useme.
Umeeleweka mkuu, kumbe issue si kubebewa mafaili, bali ni nani anambebea hayo mafaili, kweli kukitokea issue itabidi aweke kwapani faili kwanza akirudi kwa mhe itakuwa too late!!!!!!!!!!!!Mkuu: Kama kweli wapo na wanafanya kazi, ilikuwaje siku ile wamwache JK mpaka anadondoshwa na upepo Jangwani? Hivi haya mambo ya ishara yapo kwetu tu? Manake nimejaribu kutazama sana marais wengine lakini hizo ishara hawazitumii, hata Marekani, Russia, Uingereza nk,, viongozi wao hawana ishara kama hizi, na ndiyo wanasifika kwa ulinzi wa viongozi wao kuliko sisi wana-ishara...
Mkuu: Kumbe hii nafasi huwa inawaniwa? Sijawahi kuihitaji mkuu wala ndugu zangu hawajawahi...
Hata kama si rais anayewajibika kujibebea mafaili, basi kumtumia huyu Bwana ambaye inasemekana yupo kama ishara ya umadhubuti katika kumlinda rais, ni makosa zaidi. Angalau wangemtumia mtu mwingine kuifanya hiyo kazi. Hebu jiulize, ikitokea jambo litakalomlazimu kutumia mikono kumwokoa rais ilhali wakati huo huo amebeba mafaili si itambidi ashike moja aache moja? Atashika lipi basi kwa wakati huo? Isitoshe huwa tunaambiwa msafara wa Rais huambatana na watu kibao, hao wengine huwa ni wa kazi gani basi kama hata wa kubeba mafaili hayupo?
Hapa akimtengenezea koti Bwana Mkubwa..
View attachment 23751
hata mimiMie rais wangu ni Slaa huyu mbona simjui !!!
hahahahaaaaaa, hiyo ya kubeba mafaili noumaaaa...Siamini kabisa kwamba yupo kwa sababu za kiusalama.Na kama yupo kwa sababu hizo basi alisha-prove failureRejea tukio la Janngwani.View attachment 23710Hapa kabebeshwa mafaili kabisa, sasa likitokea la kutokea atalinda mafaili au atafanya kumuokoa ******?View attachment 23711View attachment 23712Hapa tena, marais wengine wote hawana walinzi nyuma yao, ****** tu...View attachment 23713View attachment 23714Hapa tumuweke kwenye kundi la viongozi au?Manake amejumuika kabisa na viongozi wa kitaifa na wame-form mstari kabisa.View attachment 23715Hapa sijui anatekeleza Protocala au analinda?View attachment 23716Hapa sijui analinda nini..Besides, ni mfupi zaidi ya Object yake, kiasi kwamba haoni mbele ya JK kuna nini. Sasa hapo atamlindaje?View attachment 23717Inawezekana yupo kwa ajili ya kubeba mafail ya ******? Hayo mafaili yana uzito gani kiasi cha kumshinda ****** mwenyewe kubeba?Au, tumtofautishe vipi ****** na mamwinyi. Kuna hata clip niliona jamaa akimrekebishia koti ****** wakati ****** akimwaga upupu wake kwa waandishi wa habari... Inakera!!!Yaani kama ni utaratibu tu wameuweka, huyo jamaa anaharibu sana pozi..
hivi kwa toilet anakua nyuma yake pia?kazi yake si ulinzi,ni mpambe.ni mambo ya kiitifaki tu ambayo nadhani yapo zaidi (au yamebaki) Africa zaidi