Hivi huyu mheshimiwa shibuda anafaa chadema?

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Chaguzi mbalimbali zinaendelea hapa nchini,kuna uchaguzi wa ubunge Arumeru na uchaguzi wa udiwani huko Mwanza.Wapiganaji mahiri wa Chadema wanazunguka maeneo hayo lakini mtu huyu wala hasikiki popote kusaidia kampeni za chaguzi hizi.Hivi kuna tatizo gani hapa naomba mwenye data azimwage hapa.
 
Back
Top Bottom