CHADEMA kususia kushiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani ni uwoga na kukosa ukomavu wa kisiasa

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Nimeshangazwa sana kuona

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitoa tamko la kutoshiriki Uchaguzi mdogo wa Madiwani katika Kata 14 zilizopo kwenye Halmashauri 13.

Nimezisoma sababu zilizotajwa na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi huo, kwa kweli sababu hizo hazina mashiko.

Kwa mfano hili suala la CHADEMA haitashiriki uchaguzi huo kutokana muda wa Kampeni kuwa mdogo (Julai 1 hadi 12, 2023) haliingii akilini, wanashindwaje kufanya kampeni katika muda huo? Au wanaukata wa fedha za kuendesha kampeni? Hapana! Mbona mwezi March 2023 walianza kupokea ramsi ruzuku kutoka Serikali, hivyo chama hicho kina pesa za kutosha za kuendesha kampeni hizo, au fedha za ruzuku zinaishia mifukoni mwa viongozi wajanja ndani ya chama .

Mbona vyama vingine ikiwemo ACT - Wazalendo havijalalamikia kuwa muda huo wa kampeni mdogo. Sasa ninachokioana ndani ya CHADEMA ni UOGA na kukosa ukomavu wa kisiasa kutokakana na kutokuwa na uhakika wa kushinda uchaguzi huo.

Pia, ninashangaa kuona CHADEMA ikikataa kushiriki uchaguzi huo kwa kuwa unasimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri. Kwani katika chaguzi zilizopita ikiwemo uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 na mwaka 2015 CHADEMA ilishinda baadhi ya nafasi za udiwani katika chaguzi hizo ambazo zilisimamiwa na Wakurugenzi.

Hivyo, ninachokiona hapo CHADEMA imeamua kujificha katika KICHAKA cha muda mdogo wa kufanya kampeni na kupinga uchaguzi kusimamiwa na Wakurugenzi wa Halmashauri ili kuficha UOGA na HOFU ya kushindwa katika uchaguzi huo.

CHADEMA rudini mchezoni ili wawape wananchi haki yao ya msingi ya kidemokrasia ya kuona kuna wagombea wengi wa nafasi ya udiwani kutoka vyama mbalimbali vya siasa na kuamua kuwachagua wagombea wanaowataka kulingana na mazingira na mahitaji yao.
 
Tunataka Katiba mpya na siyo upuuzi wenu.
 
Ni mtu au chama cha kijinga tu kitaendelea kushiriki chaguzi za kishenzi eti kuonyesha kuwa una ukomavu wa kisiasa. Hatuko tayari kuendelea kushiriki chaguzi ambazo unajua kabisa kura hazimeshimiwi.

Cdm wao kama chama wanaweza kushiriki ili kutaka kuonyesha kuwa kuna demokrasia chini ya awamu hii ya mama Samia, lakini ukweli ni kuwa wapiga kura tunaojitambua hatutakuwa na muda mchafu wa kushiriki hizo chaguzi za kihayawani. Inshort wapiga kura wamedharau rasmi chaguzi za nchi hii. Tegemea idadi ndogo sana ya wapiga kura, na sio uchaguzi huu tu, hata uchaguzi mkuu ikiwa mazingira ya uchaguzi ni haya haya.
 
badilikeni watanzania wanafikiri juu ya anga la uchumi na wekezaji mkubwamkubwa
Mngejua watanzania wanafikiri kuhusu anga la uchumi msingeendelea kulazimisha kukaa madarakani wakati inaonekana dhahiri mmefikia ukomo.
 
Back
Top Bottom