Hivi hili linawezekana! (2 in 1)

Ubahili ukizidi tabu tupu!!

Sio kila mtu bahili dadangu! wengine hawana ila wanapenda na wao wawe na ukumbusho mzuri wa ndoa yao hasa ukizingatia kwa sisi wakristo ndoa ni mara moja tu katika maisha yako.
 
Sijui kwanini watu wanataka makubwa wakati hawayawezi.ebu mwambie huyu rafiki yako ajikune anapojifikia....

Ni ngumu kueleza! lakini najua hata kama ingekuwa wewe ungependa ufanye kitu kizuri kidogo kwa ajili ya ukumbusho, hasa kwa wakristo ndoa ni mara moja tu maishani. Nafikiri ni rahisi kushauri hivyo, lakini ni ngumu kufanya hivyo kama ni wewe mwenyewe binafsi.
 
Back
Top Bottom