Hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini?

Piga sana fix maana mademu wa kibongo hawataki ukweli! ila vilevile kuwa makini maana akigundua kamba zako kama hujajipanga itakuwa msala.....
 
Mi huwa sipendi kudanganya bana, hata mtu hakinidanganya huwa nakasilika sana. Naamini siku moja nitampata atakae vutiwa na sound zangu.
 
sasa umeomba ushauri wa nini kama ndio hivi?
 
Aaah, kumbe hawa wasichana wanapenda sana uhongo, poa let me try..

jipange vizuri....ukidanganya vibaya utajuta....kuna wenzio m a f a *a wanadanganya kiduanzi...wakipigwa kibuti wanaanza kulialia....
 
Nimekusoma, ila hata hivyo mi huwa sipendi kudanganya.. japo nahisi mabinti ndo wanapendaga kudanganywa.
 
nimesoma comment zooote summary hii hapa, jiamini, uwe na mkwanja, unaonekana unatania, be serious. Sasa ushauri wangu nenda pale breakpoint bar pata kinywaji harafu tongoza isipowork nakurudishia chenji.
 
We mwanaume gani hupendi kudanganya? hebu acha kuaibisha hadhi ya kiume bana.. alaaah:A S angry:
 
....Wanapenda sana kudanganywa lkn ukiwaambia ukweli watakukimbia. waambie una CPA na ACCA, MBA, unakaa Masaki, azima ndinga ya mshkaji hata km ni VITZ, ulambe swaafi km pedeshee! pafyum kwa saaaana, weka ma ATM km saba kwenye wallet hata km mbili tu ndo utakuwa unazitumia! usisahau kuweka fuba km laki mbili kwenye wallet hiyo ni ya show off tu jifanye unajua viwanja vyote hapa mjini, zungumzia sana Dubai na China jikakamua hata one day mpeleke Kempinski au Sea Cliff hapo utawala km huna akili nzuri lkn ukijifanya wewe ni mnovice! kila kitu ukweli hanasi mtuuu!
 
Hii nimeipenda ni idea mzuri sana, isee ngoja niifanyie kazi.
 
....Wanapenda sana kudanganywa lkn ukiwaambia ukweli watakukimbia. waambie una CPA na ACCA, MBA, unakaa Masaki, azima ndinga ya mshkaji hata km ni VITZ, ulambe swaafi km pedeshee! pafyum kwa saaaana, weka ma ATM km saba kwenye wallet hata km mbili tu ndo utakuwa unazitumia! usisahau kuweka fuba km laki mbili kwenye wallet hiyo ni ya show off tu jifanye unajua viwanja vyote hapa mjini, zungumzia sana Dubai na China jikakamua hata one day mpeleke Kempinski au Sea Cliff hapo utawala km huna akili nzuri lkn ukijifanya wewe ni mnovice! kila kitu ukweli hanasi mtuuu!

Ume furahisha na huu ushauri
ila ni kweli mademu wa kibongo ukiwambia ukweli wanakuona muongo! kuwa muongo sana .
 
....Wanapenda sana kudanganywa lkn ukiwaambia ukweli watakukimbia. waambie una CPA na ACCA, MBA, unakaa Masaki, azima ndinga ya mshkaji hata km ni VITZ, ulambe swaafi km pedeshee! pafyum kwa saaaana, weka ma ATM km saba kwenye wallet hata km mbili tu ndo utakuwa unazitumia! usisahau kuweka fuba km laki mbili kwenye wallet hiyo ni ya show off tu jifanye unajua viwanja vyote hapa mjini, zungumzia sana Dubai na China jikakamua hata one day mpeleke Kempinski au Sea Cliff hapo utawala km huna akili nzuri lkn ukijifanya wewe ni mnovice! kila kitu ukweli hanasi mtuuu!

wengine hatupendi kudanganywa na ukija na swaga zako kama hizo utapewa jibu hutokaa uamin,
na sio wote wanaozuzuka na vitu kama hivyo na wengine wanakua navyo au walishakutana na wenye swaga kama zako so watakuwa wanakuenjoy na kukucheka pasipo wewe mwenyewe kujua
 
Kwa kukusaidia nenda kwenye vibanda wanapo-burn CD,
Ukifika hapo ulizia nyimbo za bongo flava,
Chagua msanii aitwae Jos Mtambo.
Kuna wimbo amefanya na JLT unaitwa DARASA HURU, huo utakua ndio tiba ya matatizo yako yote kama ukiusikiliza, kuuelewa na kuufanyia kazi!!
 
Back
Top Bottom