Hivi Bado wanafundisha ?
mama shija bado anafundisha lakini umri umeenda sana..ila still class anaingia na chaki tu kupiga pindi...aisee huyu mama ni kichwa...much RESPECT to her
Hivi Bado wanafundisha ?
sinishani na watu wasio na amani .
Kamanda... Enzi zile tambaza ilikua ya wagumu kwahiyo ukiona ngozi ya lotion unahisi umeona malaika, pamoja na hayo, macho yangu hayajawahi kunidanganya... At least when it comes to a beauty!!!Sasa kamanda, mademu as you put it, walikuwa wazuri ama macho yako yalikuwa hayajawazoea?
(tomorrow i will shoot somebody on the head and i dont want an alibi!)
Dah..Mkandawile mzee Wa PUGU....unatoka mkoani kuja kupiga Chemia Dar!ukirudi na notes za Mkandawile we ni mfalme....kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!ndani ya Tabora School...bweni la Sina!nikapiga banda langu na Chemia na ma B mengine...bila ushauri nikajikoki MUHAS kujilipua na Dental...hata mwaka haukuisha kama naugua vilee..kumbe ndo nahairisha!huyoo BAF
Hahahaaaaa.... Yaani umenikumbusha sana hiyo ya wenye notisi za mwaka jana waongeze hii, maana mie nilikuwa na daftari ya sister wangu, hivyo nilikuwa naongeza hizo nyongeza huku nikistaajabu mwalimu anavyokariri mambo.. Mie nilisoma St. Anthony.. Kipindi cha likizo ndio nilikuwa napiga Tuition hapo Mtendeni..
Hey, not so fast bi.tch!
That's assuming that you did indeed attend and successfully complete classes at Form 5 and 6 levels at Tambaza High School, which, given your less than mediocre reputation in here, I doubt if you even possess an equivalent US GED level qualification.
To be be honest, your level of education is more at par with grade 3 US to me, leave alone Form Four or even Six TZ!
Hii Mbona nilichelewa kuiona, dada Natalia nilikuwa namuuliza Ngaliba Dume sio wewe.Sijasema nimesoma tabora girls .Nimesema marafil zangu wengi walipelekwa hapo
dah kwa kweli wengi tulimfaidi sana mwalimu mkandawile directly or indirectly.
Japo sikuwahi kuhudhuria tuition class yake lakini niliweza kusoma notes za waliohudhuria na kwa kweli niliangusha banda langu la kemia
Mimi hata sijawahi kumuona japo jina lake ni maarufu sana. Natamani japo kumuona
all the best mkandawile popote ulipo hakika umewainua na kuwavusha vijana wengi. Mungu akubariki popote ulipo in your life
mie nilikuwa Pugu, so tulikuwa tunaenda mpaka kwake jion anatupigia pindi...i real miss that life...life la pressure pressure za mkanda na kina busanji wake...anakupigia, kijana utapata nini...?ni sheta boy anakusumbua, hapo unakuta umesinzia...ha ha haa...he was areal teacher kwa kweli...
Mkuu nahisi tumesoma pugu kipindi kimoja mana hayo matukio ya kwa MKANDA BOY unanigusa kabisa!!
"Hii kiboko"
inawezekana mkuu, umemaliza mwaka gani pale?
Mwaka 2005!! wewe je?
wewe unaonekana ulikuwa na fungus hatari maana maji ya pond sio mchezo..