Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Mkandawile alikuwa anaishi nyumba aliyojenga mwenyewe Pugu karibu na kwa Busanji

baada ya kukopa na kuanzisha shule alia za starehe,na hyo nyumba haikuwa yake ila alikaa muda mrefu ikaanza kuonekana yake.aliposhindwa kulipa mkopo ndo yalimkuta yaliyomkuta.
 
Pole ujipe mwenyewe mkuu!

Sababu unafikiri you can fool everybody, all the time, ilhali track record ya kauli zako humu jukwaani inakuumbua.

FYI, you're the last person i'd expect to know anything about the very basic principles of Chemistry
even at Form Two Level: leave alone your pretensions of having studied advanced-level science subjects (like Chemistry) at Tambaza High School.

ooooopsss!...at least somebody said it!...huyu 'chick' ni kiazi kinyama!!...,hawezi kuwa alikuwa kwenye mziki wa Tambaza ile ilipokuwa TAMBAZA!
 
kichwa cha organic chemistry hicho...mkandawile... huyu mzee saiz naskia yupo mwanza,
 
Muddy physics, hidden, mtata de mtatuzi.....

"Nataka kumfanya Mariam Mie fanyaaa" (Kumbe anafanya swali )- hidden

"Ladies and gentlemen let us end here for this particular... So astalavista manyanaa " - muddy

Mr Smith has... blah blah blah -muddy
 
Kabla ya kuanzisha shule alikuwa anajishikisha Loyola High school.....ila kusema la ukweli hata kama wengi mtabisha Mzee mkanda boy alikuwa macho juu juu ila mjanjajanja ivi,ngoja niishie hapahapa japo kwa Chemistry he was just second to none.
 
please any update ya mkandawile, alinipiga tafu kunisukumia medical skul kwa chemistry, Mama Shija alikua Azania tena akifundishia tuishen DIT kiindi fulani, Busanji yupo wapi? Makumaku pia kwa Biology Mnazi mmoja 2000?

Busanji alihamia Alpha mwaka 2010 ila kwa sasa sijui yuko wapi
 
Walimu wangu hao pugu kina nzoi. Nyau.Busanji.Songombingo. mabagala. Juma wasiwasi. Huyu mabagala sitomsahau alishawahi nipiga ngumi kifuani alikuwa anaondoa watu mabwenini akanikuta kwenye corridor bweni la ujamaa. Hiyo ni 1999 april PCM
 
Mkandawile kama mlivosema alikopa hela benki akashindwa kulipa shule yake akanyang'anywa hivo aliamua kuondoka dar na kupata shule geita ya private na mwajiri wake alimpa hadi gari kutokana na tamaa yake akawa anapiga tution shule za bukoba Ihungo boyz high school na nyakato boyz high school akawa anashindwa kufika kwa wakati shule aliyoajiriwa akafukuzwa kazi na gari pia mwajiri wake alikua anataka akakataa kuaibika akakimbilia mahakamani baada ya hapo alienda mwanza akapata kazi Nyegezi seminary mwaka jana. NB. Huyu jamaa ni mmoja kati ya wanakemia tegemezi sijawahi ona TZ lkn raha na starehe zinammaliza huyu mzee
 
Hivi Bado wanafundisha ?
Mkandawile alikula hela za kanisa Dar akakimbilia Mwanza. Mpaka sasa anaishi kwa utapeli huko. Ana deni Vision Fund pale Mwanza. Ki ufupi ukikutana na huyu mtu kimbia.

Alikuja akataka kunipiga changa la macho kisa alinifundisha Pugu miaka hiyo pale kwake
 
Mkandawile alikula hela za kanisa Dar akakimbilia Mwanza. Mpaka sasa anaishi kwa utapeli huko. Ana deni Vision Fund pale Mwanza. Ki ufupi ukikutana na huyu mtu kimbia.

Alikuja akataka kunipiga changa la macho kisa alinifundisha Pugu miaka hiyo pale kwake
Siyo hela za kanisa alikopa hela CRDB akaanzisha shule chanika ikawa inafanya vizuri Sana ,alipokosea ni pale alipojiingiza kweny utawala 100% na kuacha kufundisha kabisaa wakati shule ilivuma Kwa ufundishaji wake
 
Kumbe na weye MBOIZIA...wazee wa tukutuku...aisee mie nilikua BWENI KUU Ruhinda kule juu...tulikua tunasumbuana na MZEE MADUKA kuamshana asubuhi....
-----------------------------------------------------------------------------------------------
BACK TO TOPIC
Mkandawile long time sana sijamsikia sijui uzee unamtesa au ndio tena vijana wameshamzidi.....
Ni jana tu nimesikia matangazo yake ya tution secondary ya Baptist Mwanza pale kina ya Bwiru
 
Siyo hela za kanisa alikopa hela CRDB akaanzisha shule chanika ikawa inafanya vizuri Sana ,alipokosea ni pale alipojiingiza kweny utawala 100% na kuacha kufundisha kabisaa wakati shule ilivuma Kwa ufundishaji wake
mke wake ndo alikuwa mhasibu pale ikala
 
Aisee...Mkandawire alifanya tuione A-level Chemistry ni somo rahisi. Nakumbuka akishafundisha ki-topic fulani anakuja kutoa mfano wa swali la NECTA bila kusoma popote utamsikia 'Necta 1992 Question 4a...........'
Nakumbuka alikuwa anapenda kusema 'mtapata tabu kweli...'
 
Back
Top Bottom