Kuna kampuni moja hivi ambayo si elewi elewi maana ishabadilishwa majina kibao na ujanja ujanja kibao ndani yake. Ipo pale yale mabasi yenye njia yake yanapo geukia. Sasa bana, juzi kati nilinunua bando la buku mbili shida yangu ilikuwa kupata MB's; cha ajabu sijui ndio kawaida yao basi bando lilikuja vizuri ila likawa alitumiki mpaka nikajiuliza shida au labda ni simu yangu, maana nikiangalia salio naliona lakini data sina.
Kupiga CUSTOMER CARE, yaani balaa maana wana customer care mbovu sijawahi kuona; utadhani wana kulaga mavi asubuhi ndio wana kuja kazini. Jitu nimeliuliza vipi uko kwenu kuna shida ya network linabisha balaa na kusema simu yangu ndio itakuwa mbovu wakati nikiangalia salio naliona, yeye anasema kule halioni.
Yaan nilikuwa ndani, nje nakuona miyeyusho mvua, lenyewe likabisha tu sauti yenyewe mbayaaaaaaaaaa kama kakabwa. Waliila ile buku mbili yangu na vocha ilipotea hivo hawakurudisha mamba hawa. Matangazo mengi kumbe majambazi tu.
Siku hizi waliniblock siipati tena ile CUSTOMER CARE yao; hata nikiwa na shida naacha tu au nahamia mtandao mwingine.