Mimi ukinipiga ndio hiyo itakuwa mara yako ya mwisho kugusa ngozi yangu.
Nakufikisha polisi na ndio utakuwa mwisho wetu
Kupigana haikubaliki hata kidogo. Kama kupigwa ningepigwa utotoni, haikuwahi kutokea hata mara moja.
Sasa kama njia za amani tumeshindwa kufikiana muafaka, na tuachane kwa amani, haiwezi kutokea sababu ya kuhalalisha kupigwa. Ever
Unaona G. Exactly my point........si kila mwanamke ni lazima apigwe. Kwa mfano tuna wewe hapa mwalimu wetu kwako haikubaliki kabisa au sio. Mimi nachopinga ni hii ya kulazimisha kuwa inatakiwa iwe hivyo hivyo kwa kila mwanamke. Trust me G kuna wanawake bila kichapo hamuelewani na hii ni from xp.......kwa hiyo nyie madada wa JF mnaolalama hapa kama nyie hamkubaliani na kipigo, thats fine coz kuna type yenu pia lakini msithubutu kudhani kuwa dunia ina wanawake wa aina yenu peke yake. Kwa mfano mimi nilishawahi kuwa na wale wa kupewa kichapo, wale wa kupewa maneno matamu tu na wakaelewa na wale wengine hadi uwe mkali ndio waelewe unasema kitu gani.
Haya nawasubiri hapa mtupie mawe.