Hivi hadi siku hizi kuna watu wanapiga wake zao?

kwa hiyo kama kwao alikuwa anabeba kuni ndo unampiga?
I am so ashamed of u aisee. Mwanaume kupiga mkeo sio tu ni tatizo la ubongo lakini ni ishara ya kuwa weak. I mean coward. A real man faces his issues banaa.
Mnataka wote tukatwe mitama kama Kanumba tufe kizembe kabisa eehhee!! No way, mimi napiga makofi, ngumi, vichwa na ngwala juu, pelekeni uzungu wenu huko huko.

Ningekuona una cha maana kama ungeuliza hivi inafikia stage gani mpaka unamuadhibu mwanamke? msikae humu mitandaoni kupretend wakati labda jana tu boy friend wako kakufumania kwenye choo cha club unaliwa denda halafu unasema asikupe kichapo!! No way.
 
hakuna mwanaume nitamdharau hapa duniani kama mwanaume mpigaji! how can u beat your woman for crying out loud!!! halafu in the middle of the night u try to come close to me na kuomba nikupe kiota chako! puuuuuuu, tufiakwa! i better use my fingers to have pleasure than pretending to luv u again! ikifikia hapo na TUDIVORCE TU!
 
Si nimesema una walakini kwenye ubongo wako, unakosa hata kumbukumbu ya vitu vidogo kama hivi.. ngoja nikusaidie anaitwa Specioza Kazibwe... Aliikluwa ni mwanamke jasiri aliyeamua kuimuacha mume mnyanyasaji kutokana na kuwa na kitu kinachoitwa Infiriority Complex... na kutojiamini

Bado nasisitiza kama umeshindwa kumvumilia mwanamke ni bora muachane kuliko kutiana ngeu, mtu hujui amezaliwa akiwa na tatizo gani, sasa ukimpiga halafu akakufia utakuwa umefaidika na nini? utafia jela...!
Hizi makala zako na ngonjera peleka kwenye magazeti ya udaku yanayoshabikiwa na wavivu wa kufikiri na utapata kipato, I don't buy this story even in free copy.
 
Kwa nini mwanamke asipigwe? au unadhani wanawake wote wako sawa na wanaringana? mbona wanaume wanapigwa na wake zao?

Mimi si miongoni mwa wapigaji ila ukinichanganya siku ni lazima ule kisago cha uhakika ili uelewe kabisa kwamba to be a Gentleman siyo ujinga.
Matola ni wewe unayasema haya au ni wale magamba wame-hack account yako??
 
Mnataka wote tukatwe mitama kama Kanumba tufe kizembe kabisa eehhee!! No way, mimi napiga makofi, ngumi, vichwa na ngwala juu, pelekeni uzungu wenu huko huko.

Ningekuona una cha maana kama ungeuliza hivi inafikia stage gani mpaka unamuadhibu mwanamke? msikae humu mitandaoni kupretend wakati labda jana tu boy friend wako kakufumania kwenye choo cha club unaliwa denda halafu unasema asikupe kichapo!! No way.
sasa my dear ungemfumania na kumuacha, kuondoka kimya kimya! ungekuwa wa maana na hiyo dhambi ingemtafuna milele na milele, yaani kwa kifupi thats how a gentleman is and should b, wale naopiga baada ya kufumani ni COWARDS! coz sio kwamba ndio ataacha au ndio utabadilisha kosa kuwa sio kosa, reality itabaki kuwa amekucheat either umpige au la ni yale yale! ila kumuacha bila kipigo ni heshima zaidi kwako!
 
Kwa nini mwanamke asipigwe? au unadhani wanawake wote wako sawa na wanaringana? mbona wanaume wanapigwa na wake zao?

Mimi si miongoni mwa wapigaji ila ukinichanganya siku ni lazima ule kisago cha uhakika ili uelewe kabisa kwamba to be a Gentleman siyo ujinga.

Sikubaliani na wewe.
 
Hizi makala zako na ngonjera peleka kwenye magazeti ya udaku yanayoshabikiwa na wavivu wa kufikiri na utapata kipato, I don't buy this story even in free copy.

Ha ha ha haaaaaa kumbe huwa unasomaga eh.....LOL
Naamini utakuwa umebadilika kwa upande wa mahusiano japo kidogo....
 
Wewe mleta mada mwenyewe umeowa au una Girlfriend tu,na kama umeoa ndoa yako ina muda gani,swala la kupiga mkeo ni deciosion ambayo itakutoka kama vile decision utakayofanya utakapofumania mkeo anatoa uroda live,utaamua kupigana au kuondoka taratibu kimyakimya,there is psychological thing behind that si swala la kusema hatakiwi au anatakiwa kupigwa.

Nafikiri unamaanisha ile reflex action hapa.
Kuna kupiga ile ya hacra zimekupanda ghafla na kushindwa kujizuia (Na hii huwa si kipigo cha kufa mtu-pengine kibao cha kelbu kimekutoka ghafla kwa sababu ya ghadhabu). Mara nyingi huwa mpigaji anajijutia kitendo chake hicho hata kama hatosema au kuomba msamaha.

Lakini kwa kile cha kumpiga haswa kama alivyofanya huyo mume mlima matembele kwa mkewe hapana. Hapa kaka Matola na Mjasiria sidhani kama nitawaelewa kwa kweli.
 
wanaopiga wanawake ni wajinga kbs tena akili zao haziwatoshi,ina maana wenyewe hawakosei? je wakikosea na wao wapigwe? huo ni ulimbukeni tu.
 
Sasa King kwani wewe ndio wanawake wote???!!!!!!!!!!!!!!! Kwa nini nyinyi wanawake mlio na elimu ya mkoloni mnapenda kudhani kuwa mnachotaka na kufikiri nyinyi ndicho anachopenda kila mwanamke.................Msipende kuhukumu watu, mimi nakwambia nina uzoefu wa kutosha tu wa wanawake wanaofurahia kipigo na wala sio wakurya wala nini, maana hapa utasikia aah huyo atakuwa mkurya.

Muhimu ni kuwa si kila mwanamke ni King, na pia si kila anayepiga hajiamini.

Hapa msijekuwa mnazungumzia angle tofauti Mjasiria na King'asti. Kwa wanaoFURAHIA KIPIGO ni sawa tu endeleeni kuwapa hiyo FURAHA yao but kwa wale wasiofurahia?? Wale wasiowezakujitetea na maguvu yao Kaka yangu Mjasiria, hebu waoneeni huruma japo kidogo eh? Mtakuja kuua mpate dhambi za bure jamani.
 
Sintoshangazwa na comment za wadada walio wengi hapa JF maana wengi wao ni wale wanaojiita Independent woman, mna kila sababu kuamini kile mnachoamini.

Kwa sababu kwa akili zenu mnadhani watu wote wanaishi Oysterbay, Masaki, Kinondoni, Mbezi Beach & likes, hamjawahi kuona maisha ya mama anaacha mtoto peke yake kukimbilia mdundiko. mimi natoka Uswahilini naongea through my experince kwa sababu naishi mazingira yote ya kishuwa na Thug Life.
 
Matola mie ninaelewa hapa kuna point ya muhimu tu ambayo nafikiri ina mapana yake pia. Suala la mahali pa kuishi si tija sana nadhani ishu ni ule uwezo wa kuelewa mambo mbali mbali. Kwa mama kuacha mtoto na kukimbilia mdundiko nadhani hata kwa Masaki linawezatokea iwapo mama wa aina hiyo atahappen kuishi Masaki na Mdundiko ukapita au vice versa.

Labda tujiulize aina ya makosa ambayo mtu unawezajikuta umenyanyua mkono na kumpiga mwenzi wako; kisha tuangalie kama kupiga kunasaidia katika kuyaondoa hayo makosa.
 
sasa my dear ungemfumania na kumuacha, kuondoka kimya kimya! ungekuwa wa maana na hiyo dhambi ingemtafuna milele na milele, yaani kwa kifupi thats how a gentleman is and should b, wale naopiga baada ya kufumani ni COWARDS! coz sio kwamba ndio ataacha au ndio utabadilisha kosa kuwa sio kosa, reality itabaki kuwa amekucheat either umpige au la ni yale yale! ila kumuacha bila kipigo ni heshima zaidi kwako!

Hapo kwenye red hiyo ni kwa mujibu wa standards zipi bi cacico ?
 
Last edited by a moderator:
sasa my dear ungemfumania na kumuacha, kuondoka kimya kimya! ungekuwa wa maana na hiyo dhambi ingemtafuna milele na milele, yaani kwa kifupi thats how a gentleman is and should b, wale naopiga baada ya kufumani ni COWARDS! coz sio kwamba ndio ataacha au ndio utabadilisha kosa kuwa sio kosa, reality itabaki kuwa amekucheat either umpige au la ni yale yale! ila kumuacha bila kipigo ni heshima zaidi kwako!

kumpiga mke sidhani kama ndio adhabu inayostahili...... cacico umenikumbusha mume alimfumania mkewe yule bwana hakumpiga wala kumwuliza kilichotokea yule mwanamke aliondoka bila kupewa talaka.... Matola umenishangaza na mtama unamkata daaah nafikiri kitakachofwata kuondoka kuliko kuja kutolewa ngeu na kutoa vizingizio mtaani nilijigonga na dirisha
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri unamaanisha ile reflex action hapa.
Kuna kupiga ile ya hacra zimekupanda ghafla na kushindwa kujizuia (Na hii huwa si kipigo cha kufa mtu-pengine kibao cha kelbu kimekutoka ghafla kwa sababu ya ghadhabu). Mara nyingi huwa mpigaji anajijutia kitendo chake hicho hata kama hatosema au kuomba msamaha.

Lakini kwa kile cha kumpiga haswa kama alivyofanya huyo mume mlima matembele kwa mkewe hapana. Hapa kaka Matola na Mjasiria sidhani kama nitawaelewa kwa kweli.

Kuhusu hiyo nyekundu hebu angalia hii buluu hapa chini.

Aliyekwambia upendo huwa unaisha kwa kupigwa tu nani?!!! FYI mke anaweza akapigwa na upendo ndo kwanza ukaongezeka na anaweza akaachwa tu halafu akakuona kama mjinga fulani hivi. Unajua nyie mnaosema kuwa kupiga mke si sawa na vitu kama hivyo mnafikiri wanawake wanafanana. Ni kwamba hawa kinadada wanatofautiana sana (msome Matola hapo juu utaelewa naongea kitu gani). Ukweli ni kuwa kuna wanawake usipowagusa (i.e kutoa kichapo) mambo hayaendi kabisa. Ila sasa hapa nazungumzia kichapo cha wastani tu sio zile ishu za kuvunjana miguu na mikono hadi kupelekea kulazwa.
 
Mimi ukinipiga ndio hiyo itakuwa mara yako ya mwisho kugusa ngozi yangu.

Nakufikisha polisi na ndio utakuwa mwisho wetu

Kupigana haikubaliki hata kidogo. Kama kupigwa ningepigwa utotoni, haikuwahi kutokea hata mara moja.

Sasa kama njia za amani tumeshindwa kufikiana muafaka, na tuachane kwa amani, haiwezi kutokea sababu ya kuhalalisha kupigwa. Ever
 
Sintoshangazwa na comment za wadada walio wengi hapa JF maana wengi wao ni wale wanaojiita Independent woman, mna kila sababu kuamini kile mnachoamini.

Kwa sababu kwa akili zenu mnadhani watu wote wanaishi Oysterbay, Masaki, Kinondoni, Mbezi Beach & likes, hamjawahi kuona maisha ya mama anaacha mtoto peke yake kukimbilia mdundiko. mimi natoka Uswahilini naongea through my experince kwa sababu naishi mazingira yote ya kishuwa na Thug Life.

Baambie baba baelezee, hawa wameshazoea maisha ya school bus...........Yaani they have no idea how women from our common streets think. Siku mkiwaelewa hawa wanawake wa kitaa tunachoishi watu kama sisi nadhani mnaweza kuandamana waongezewe kichapo :biggrin:
 
Ukweli ni kuwa kuna wanawake usipowagusa (i.e kutoa kichapo) mambo hayaendi kabisa. Ila sasa hapa nazungumzia kichapo cha wastani tu sio zile ishu za kuvunjana miguu na mikono hadi kupelekea kulazwa.

Hebu tueleweshane juu ya huo ukweli.

Hayaendi kabisa, kivipi?
 
Back
Top Bottom