Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 849
- 103
Au mwaka 1985 walifanyaje kumteua Mwinyi?
Mtaweweseka sana mpaka October. Mtafunua kila jiwe mwisho mtaishiwa kuumwa na nge
Unataka kutumia makosa ya mwenzio kuhalalisha yako......?! Sisi hamna hata chembe ya wasi wasi. Yaani tupo tupo sana. Tunatumia nguvu zetu kujitajirisha wenyewe badala ya kusubiri miujiza mpaka mwisho wa dunia ufike.