Elections 2010 Hivi Dr Slaa alipitishwa lini na mkutano mkuu kugombea urais?

Au mwaka 1985 walifanyaje kumteua Mwinyi?

Mtaweweseka sana mpaka October. Mtafunua kila jiwe mwisho mtaishiwa kuumwa na nge

Unataka kutumia makosa ya mwenzio kuhalalisha yako......?! Sisi hamna hata chembe ya wasi wasi. Yaani tupo tupo sana. Tunatumia nguvu zetu kujitajirisha wenyewe badala ya kusubiri miujiza mpaka mwisho wa dunia ufike.
 
Muanzisha mada hii ameanza kwa kusema "nimesikia" kuwa Dr Slaa anachukua form za kugombea uraisi kuotka NEC leo!!! Akili Kichwani kauliza swali la kimbea bila kutupa source ya huko alikosikia. Nadhani jambo la kwanza ambalo watu makini na wenye fikra sahihi kama wana JF walitakiwa kwanza wajue kama hilo alilosema Akili Kichwani ni kweli, kwamba Dr Slaa keshachukua fomu za kugombea uraisi kutoka tume ya uchanguzi, yaani NEC na anazo mkononi. Sasa inasikitisha kuona great thinkers wanaanza kujadili hoja ya "kusikia" na kuanza kuhitimisha kuwa Chadema imevunja katiba. Tuvuti ya Chadema inaonyesha mlolongo mzima wa mambo na ukiangalia ni kweli kwani jana tarehe 8/8/10 Dr Slaa alikuwa kwenye mkutano wa baraza la wanawake la chadema- bawacha, na ndivyo inavyoonekana kwenye ratiba. Nilidhani MJM alihitimisha huu mjadala, lakini bado unaendelea. Nashauri kama kuna mwenye source na confirmation kuwa Dr Slaa kachukua form za kugombea uraisi toka NEC, basi atuwekee hiyo habari hapa, then ndipo tuwahukumu Chadema kwa kukiuka katiba na ratiba waliyojiwekea wao wenyewe. Lakini kuendelea kuisukumia Chadema lawama nzito kwa habari ya kusikia, ni kukosa fikra na kudandia hoja ambayo ni hoja mufilisi, isiyokuwa na source wala uhakika. JF tuwe makini katika mijadala hii, if we call ourselves great thinkers, we should demonstrate that we are great na si kufuata upepo. I believe sisi sio kati ya wale asilimai 70 mbayuwayu wafuata upepo aliosema JK. otherwise itakuwa vigumu kujipambanua kuwa sisi sio katika hao kama mijadala yetu itakuwa hafifu na misleading kama huu
 
Tusikurupuke kuhoji kitu bila kuwa na uhakika wa tunachohoji. Tusome katiba nzima ya Chadema ndipo tutakapoelewa mtiririko wa utendaji wake lakini tukichomoa kifungu kimoja na kukisimamia haitasaidia kitu, hata kwenye vitabu vitakatifu ukichukua mstari mmoja hutaelewa kitu chochote.

Kuna vikao ambavyo vinafanyika kila siku hatuvifuatilii, kuna kukasimu madaraka ya vikao kuna ratiba mbalimbali za vikao vya uchaguzi nk. Kama wewe ni mpenzi wa hicho chama lazima vitu kama hivi utakuwa unavijua na tarehe zake. Na ungeshajua kwa nini hakuna mgombea mwingine aliyejitokeza, bila kufuatilia unaweza kujikuta unazua maswali yaliyo wazi kabisa na watu wakakushangaa.

Kuna wengine wanasema eti watu kama Mtikila wanaweza kutoa pingamizi kwa Slaa, sasa atakuwa anapinga utaratibu upi wa DP au wa Chadema na kwa kanuni ipi ya Chadema, ni ajabu kwa great thinker kusema kitu kama hicho, ni sawa na mwanaCUF kupinga uteuzi wa Kikwete ndani ya CCM kwanini wanaachiana vipindi viwili.

Au mwana Chadema kupinga kwa nini wagombea wa CUF ni wale wale miaka yote. Tuzisome katiba za vyama mbali mbali na kuzielewa kabla ya kuhoji si kungojea uchaguzi unapokaribia na kunyofoa kifungu cha mbele bila kujua kifungu hicho kinapewa nguvu na kifungu gani cha awali.
 
nimesikia habari kuwa dr slaa leo anachukua fomu za urais toka NEC!!

nimefuatilia nimeona kama ifuatavyo....

7.7.10 Kazi za Mkutano Mkuu wa Taifa ni:-
(a) .............
(b) ........
(c) Kuteua mgombea wa Uraisi na mgombea wenza wake kwa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na mgombea Urais wa Zanzibar.

7.7.13 Kazi za Baraza Kuu zitakuwa:-
(a) Kupendekeza wagombea wa Urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na kuwasilisha mapendekezo yake katika

mkutano mkuu kwa uamuzi.

7.7.16 Kazi za Kamati Kuu zitakuwa:-
(a) Kufanya utafiti wa wagombea na wa Uraisi na Mgombea Mwenza na kuwasilisha
ripoti zake kwa Baraza kuu kwa ajili ya mapendekezo yake kwa Mkutano Mkuu.

1. hiv ni lini mkutano mkuu wa chadema ulimpitisha kugombea urais wa JMT kupitia chadema?
2. kama hakupitishwa na mkutano mkuu, katiba ya chadema inaruhusu hili?
3. kama katiba inaruhusu, nini hatima ya demokrasia ndani ya chama hiki?

msaada tafadhari, manake mi sikuusikia mkutano mkuu wa chadema!!!

Nimefuatilia habari hii kwa uhakika Dr Slaa kachukua fomu toka NEC, kwa mujbu wa gazeti la Daily News. Nadhani kwa kuchukua fomu ni kutokana na mtiririko mzima wa mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya Chadema. Mwisho wa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama ilikuwa August 9, 2010. Kura za maoni ilikuwa mwisho Augut 1. So kwa kuwa hadi jana tarehe 9 hakuna mwanachama mwingine aliyechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania uraisi kwa tiketi ya Chadema zadi ya Dr Slaa, ni wazi kuwa Dr Slaa ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo kwa tiketi ya Chadema. Na ukizingatia pia kuwa muda wa kuzirudisha hizo fomu NEC ni tarehe 19 August, kimahesabu ni kuwa ana wiki moja tu baada ya Baraza kuu la Chadema kumdhibitisha kuwa ndiye atakayeipeperusha bendera ya chadema hadi kurudisha fomu. Inabidi kuzunguka tena kuomba udhamini mikoani etc, so one week ni ndogo kama angeacha kuchukua fomu hiyo leo na akangoja hadi Alhamisi ambapo ndipo kikao cha Baraza Kuu kitafanyika. Ukweli sioni uvunjwaji wa katiba hapa na sidhani kama ni busara kuconclude kuwa kwa kufanya hivyo kuna demkorasia imepindishwa . Hakuna aliyejitokeza kuomba ridhaa zaidi ya Dr Slaa.
 
Muanzisha mada hii ameanza kwa kusema "nimesikia" kuwa Dr Slaa anachukua form za kugombea uraisi kuotka NEC leo!!! Akili Kichwani kauliza swali la kimbea bila kutupa source ya huko alikosikia. Nadhani jambo la kwanza ambalo watu makini na wenye fikra sahihi kama wana JF walitakiwa kwanza wajue kama hilo alilosema Akili Kichwani ni kweli, kwamba Dr Slaa keshachukua fomu za kugombea uraisi kutoka tume ya uchanguzi, yaani NEC na anazo mkononi. Sasa inasikitisha kuona great thinkers wanaanza kujadili hoja ya "kusikia" na kuanza kuhitimisha kuwa Chadema imevunja katiba. Tuvuti ya Chadema inaonyesha mlolongo mzima wa mambo na ukiangalia ni kweli kwani jana tarehe 8/8/10 Dr Slaa alikuwa kwenye mkutano wa baraza la wanawake la chadema- bawacha, na ndivyo inavyoonekana kwenye ratiba. Nilidhani MJM alihitimisha huu mjadala, lakini bado unaendelea. Nashauri kama kuna mwenye source na confirmation kuwa Dr Slaa kachukua form za kugombea uraisi toka NEC, basi atuwekee hiyo habari hapa, then ndipo tuwahukumu Chadema kwa kukiuka katiba na ratiba waliyojiwekea wao wenyewe. Lakini kuendelea kuisukumia Chadema lawama nzito kwa habari ya kusikia, ni kukosa fikra na kudandia hoja ambayo ni hoja mufilisi, isiyokuwa na source wala uhakika. JF tuwe makini katika mijadala hii, if we call ourselves great thinkers, we should demonstrate that we are great na si kufuata upepo. I believe sisi sio kati ya wale asilimai 70 mbayuwayu wafuata upepo aliosema JK. otherwise itakuwa vigumu kujipambanua kuwa sisi sio katika hao kama mijadala yetu itakuwa hafifu na misleading kama huu

Nimefuatilia habari hii kwa uhakika Dr Slaa kachukua fomu toka NEC, kwa mujbu wa gazeti la Daily News. Nadhani kwa kuchukua fomu ni kutokana na mtiririko mzima wa mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya Chadema. Mwisho wa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama ilikuwa August 9, 2010. Kura za maoni ilikuwa mwisho Augut 1. So kwa kuwa hadi jana tarehe 9 hakuna mwanachama mwingine aliyechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania uraisi kwa tiketi ya Chadema zadi ya Dr Slaa, ni wazi kuwa Dr Slaa ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo kwa tiketi ya Chadema. Na ukizingatia pia kuwa muda wa kuzirudisha hizo fomu NEC ni tarehe 19 August, kimahesabu ni kuwa ana wiki moja tu baada ya Baraza kuu la Chadema kumdhibitisha kuwa ndiye atakayeipeperusha bendera ya chadema hadi kurudisha fomu. Inabidi kuzunguka tena kuomba udhamini mikoani etc, so one week ni ndogo kama angeacha kuchukua fomu hiyo leo na akangoja hadi Alhamisi ambapo ndipo kikao cha Baraza Kuu kitafanyika. Ukweli sioni uvunjwaji wa katiba hapa na sidhani kama ni busara kuconclude kuwa kwa kufanya hivyo kuna demkorasia imepindishwa . Hakuna aliyejitokeza kuomba ridhaa zaidi ya Dr Slaa.

Mkuu ICHONDI asante kwa points nzuri.................kumbuka kuwa kwenye keyboard yako kuna key inaitwa "enter"...........hoja zako zitasomeka vizuri zaidi
 
Processs ndani ya chadema inahusu wanachama wa chadema, jambo ambalo sioni umuhimu wa sisi kulijadili, ama sivyo tutakuwa tunajifanya na sisi kuwa ni wanachama wa chama hicho. Enforcement ya katiba ni swala la wanaohusika na katiba hiyo. Ningeona hii kuwa ni issue iwapo jamaa wangevunja sheria za nchi au katiba ya nchi; kwa mfano iwapo kuna wasiwasi kuwa Slaa alitoa rushwa ili apitishwe na chama chake, kwani kwa kufanya hivyo anakuwa amevunja sheria za nchi.

Mambo ya kiutaratibu ndani ya chama ni yao wenyewe. Tunaweza kutia comment kuwa namna hiyo siyo vizuri lakini hatuwezi kuwa waamuzi wao. Kuna mambo mengi yanayofanyika ndani ya vyama mbalimbali ambayo hata hatuna haja ya kuyajua kwani hayatuhusu. Tukiulizana CHADEMA wanafanya nini kumpata mgombea wake, tutalazimika kuulizana vivyo hivyo kwa kila chama: TLP, TADEA, DP, NLD, NRA, nk. Tutatumia muda wetu vizuri iwapo mambo ya ndani ya vyama tutawaachia wanachama wenyewe, sisi tufokasi kwenye mambo ya kitaifa tu.
 
Mkuu ICHONDI asante kwa points nzuri.................kumbuka kuwa kwenye keyboard yako kuna key inaitwa "enter"...........hoja zako zitasomeka vizuri zaidi
Ndugu Ogah, nimekupata, tatizo ni kuwa kuchangia mada kwenye JF sio full time job, tunawajibika katika kazi zetu za kutuletea mkate mezani, hivi tunaiba kamuda ka muajiri kutoa fikra mbadala hapa jamvini, so kama kuna sehemu enter haikupigwa, sio kitu cha kujali sana, kama ningeongea utumbo hapo nakubali kushambuliwa, lakini umezikubali points zangu and that is what is important. Nitakumbuka kubonyeza enter au wenyewe wanaita shift key kwenye post zijazo.
 
Hapo kwenye nyekundu bado inaonyesha CHAMA kimekiuka. Km Slaa sasa hivi anaomba ridhaa kwa wananchi, mkutano mkuu unampitisha mgombea ambaye tayari anauhakika yeye ni mgombea? Huu mkutano unaonekana ni rubber stamp, hauna maana. Maana mtu anaform ya NEC lakini kwenye chama hajapitishwa. Inamaana chama kimoja kinaweza kupeleka hata wagombea wanne kuchukua form NEC then ndio ufuate mchujo wa CHAMA. Hivi angetokea mtu mwingine akasema na yeye anataka kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ingekuwaje? AH SIASA!!!!

Tatizo wengi mnataka mabo yafanywe kama CCM....Katiba ya CHADEMA imeweka wazi na ndio mfumo wao sasa nyinyi huku kukiuka mnakosemasema ni kupi?.....kama mnaona mfumo huu haufai basi bakini huko mliko hatuwezi kuubadilisha kukudhi maridhawa yenu hasa wakati huu....kama NEC wamempa fomu tayari sasa amekiuka nini?
 
Ndugu Ogah, nimekupata, tatizo ni kuwa kuchangia mada kwenye JF sio full time job, tunawajibika katika kazi zetu za kutuletea mkate mezani, hivi tunaiba kamuda ka muajiri kutoa fikra mbadala hapa jamvini, so kama kuna sehemu enter haikupigwa, sio kitu cha kujali sana, kama ningeongea utumbo hapo nakubali kushambuliwa, lakini umezikubali points zangu and that is what is important. Nitakumbuka kubonyeza enter au wenyewe wanaita shift key kwenye post zijazo.
Hivyo ni vitu viwili tofauti mkuu, labda ungesema Return key!!
 
nimesikitika sana kuona great thinkers

1. hawajui kipi kikubwa kati ya KATIBA ya chama cha siasa na RATIBA!!! ya uteuzi ya uteuzi wa wagombea ndani ya chama cha siasa!!
2. wanahalalisha ukiokwaji wa katibwa kwa kuegemea ratiba na sababu za kufikirika kama "huenda madaraka yalikasimiwa"
3. slaa amependekezwa na kamati kuu na chama kinatumia fedha zake kumzungusha nchi nzima kuomba adhaminiwe na wakati huo muda wa kuchukua fomu ulikuwa bado haujaisha, je angetokea mwanachama mwingine akaomba fomu naye angezungushwa?
4. hawajui kuwa suala la chama kuendeshwa kwa misingi ya katiba ni la kisheria na msajili wa vyama vya siasa amepewa uwezo wa kukichukilia hatua chama chochote kitakachobainika kuendeshwa bila kufuata katiba yake
5. mnasema mamabo ya chadema waachiwe wanachadema wenyewe huku hamna uhakika kama anayehoji si mwanachadema!!! na wakati mnataka dr slaa aungwe mkono na hata wasio wanachadema!!!
6. je akitokea mwanchama wa chadema akaenda kortini kupinga udikteta wa kamati kuu kumsimamisha mtu wao (mjumbe mwenzao wa kamati kuu) kinyume cha katiba ya chama, mtasemaje??? mtatumia "ratiba" kujibu hoja kortini??

mwenye fikra na afikiri.....
 
jamani mbona watu wanakuwa wakali sana kuhoji jambo kuhusu chadema, kulikoni?
kama mtu kauliza mpeni jibu sahihi badala ya kuanza keli mara hayakuhusu, waachie wenyewe nk,
siamini kama kweli humu jf manazi wote wa chadema wameshindwa kutupa jibu la uhakika kuhusu hii hoja. inananipa m
 
Hivyo ni vitu viwili tofauti mkuu, labda ungesema Return key!!
Ahsante kwa kunisahihisha, ni return key kweli sio shift key, i meant to say return key. Loh naona leo mabox yalikuwa mengi kubeba hadi akili imechoka kabisa. Thanks again mzalendo
 
nimesikitika sana kuona great thinkers

1. hawajui kipi kikubwa kati ya KATIBA ya chama cha siasa na RATIBA!!! ya uteuzi ya uteuzi wa wagombea ndani ya chama cha siasa!!
2. wanahalalisha ukiokwaji wa katibwa kwa kuegemea ratiba na sababu za kufikirika kama "huenda madaraka yalikasimiwa"
3. slaa amependekezwa na kamati kuu na chama kinatumia fedha zake kumzungusha nchi nzima kuomba adhaminiwe na wakati huo muda wa kuchukua fomu ulikuwa bado haujaisha, je angetokea mwanachama mwingine akaomba fomu naye angezungushwa?
4. hawajui kuwa suala la chama kuendeshwa kwa misingi ya katiba ni la kisheria na msajili wa vyama vya siasa amepewa uwezo wa kukichukilia hatua chama chochote kitakachobainika kuendeshwa bila kufuata katiba yake
5. mnasema mamabo ya chadema waachiwe wanachadema wenyewe huku hamna uhakika kama anayehoji si mwanachadema!!! na wakati mnataka dr slaa aungwe mkono na hata wasio wanachadema!!!
6. je akitokea mwanchama wa chadema akaenda kortini kupinga udikteta wa kamati kuu kumsimamisha mtu wao (mjumbe mwenzao wa kamati kuu) kinyume cha katiba ya chama, mtasemaje??? mtatumia "ratiba" kujibu hoja kortini??mwenye fikra na afikiri.....
Ni kweli unayoyasema na ni haki unayoyasema kama mambo yako hivyo. Lakini mimi ninapenda kujua kutoka kwako kama unapata sana uchungu kwa hilo linalotokea au unapenda kujifurahisha kwa sababu anaweza kupitishwa na bila kufuata utaratibu lakini kama wewe mwenyewe unajua huo utaratibu haukufuatwa na si halali afadhali ukachukua hatua. Watu wamevunja sheria za nchi husemi kitu lakini mambo yanayofanyika katika vyama tena yanayohusu utaratibu wa kupitisha wagombea yanatuhusu nini.
 
nimesikia habari kuwa dr slaa leo anachukua fomu za urais toka NEC!!

nimefuatilia nimeona kama ifuatavyo....

7.7.10 Kazi za Mkutano Mkuu wa Taifa ni:-
(a) .............
(b) ........
(c) Kuteua mgombea wa Uraisi na mgombea wenza wake kwa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na mgombea Urais wa Zanzibar.

7.7.13 Kazi za Baraza Kuu zitakuwa:-
(a) Kupendekeza wagombea wa Urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na kuwasilisha mapendekezo yake katika
mkutano mkuu kwa uamuzi.

7.7.16 Kazi za Kamati Kuu zitakuwa:-
(a) Kufanya utafiti wa wagombea na wa Uraisi na Mgombea Mwenza na kuwasilisha
ripoti zake kwa Baraza kuu kwa ajili ya mapendekezo yake kwa Mkutano Mkuu.

1. hiv ni lini mkutano mkuu wa chadema ulimpitisha kugombea urais wa JMT kupitia chadema?
2. kama hakupitishwa na mkutano mkuu, katiba ya chadema inaruhusu hili?
3. kama katiba inaruhusu, nini hatima ya demokrasia ndani ya chama hiki?

msaada tafadhari, manake mi sikuusikia mkutano mkuu wa chadema!!!

Umelipwa ngapi na CCM?
 
Umelipwa ngapi na CCM?
Type ya kina AK dawa yao ni kuachwa tu itakapofika kesho kutwa trh 12 atanyamaza mwenyewe, kama atajifanya haelewi somo kwa sisi wenye akili fyatu huwa hatuchelewi kutoa maneno machafu...... .

anajifanya leo ana uchungu na Chadema mbona hakushauri kwenye oparation sangara wakati kina Mbowe walipokuwa wanakijenga chama,

badala ya kuwa na uchungu na wanaovunja katiba mama ya nchi anakuja kujifanya ana umwa uchungu wa mimba ya katiba ya wengine, si aende kwao CCM wanaofuata katiba aaaaaaaaagh is to much sasa, mtu huyo huyo anaanzisha mathread kibao yote yanazungumzia kitu kilekile anataka nini?.
 
nimesikitika sana kuona great thinkers

1. hawajui kipi kikubwa kati ya KATIBA ya chama cha siasa na RATIBA!!! ya uteuzi ya uteuzi wa wagombea ndani ya chama cha siasa!!
2. wanahalalisha ukiokwaji wa katibwa kwa kuegemea ratiba na sababu za kufikirika kama "huenda madaraka yalikasimiwa"
3. slaa amependekezwa na kamati kuu na chama kinatumia fedha zake kumzungusha nchi nzima kuomba adhaminiwe na wakati huo muda wa kuchukua fomu ulikuwa bado haujaisha, je angetokea mwanachama mwingine akaomba fomu naye angezungushwa?
4. hawajui kuwa suala la chama kuendeshwa kwa misingi ya katiba ni la kisheria na msajili wa vyama vya siasa amepewa uwezo wa kukichukilia hatua chama chochote kitakachobainika kuendeshwa bila kufuata katiba yake
5. mnasema mamabo ya chadema waachiwe wanachadema wenyewe huku hamna uhakika kama anayehoji si mwanachadema!!! na wakati mnataka dr slaa aungwe mkono na hata wasio wanachadema!!!
6. je akitokea mwanchama wa chadema akaenda kortini kupinga udikteta wa kamati kuu kumsimamisha mtu wao (mjumbe mwenzao wa kamati kuu) kinyume cha katiba ya chama, mtasemaje??? mtatumia "ratiba" kujibu hoja kortini??

mwenye fikra na afikiri.....

Asante mkuu! Yani leo nimeona kuna watu wana vichwa maji humu JF. Yani kuna majibu yametolewa humu ambayo yana upungufu mno, kiasi cha kunifanya nijiulize uelewa wetu wa uraia!
Lakini, papo kwa hapo, nimependa jibu la Ichondi:

Nimefuatilia habari hii kwa uhakika Dr Slaa kachukua fomu toka NEC, kwa mujbu wa gazeti la Daily News. Nadhani kwa kuchukua fomu ni kutokana na mtiririko mzima wa mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali ndani ya Chadema. Mwisho wa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na chama ilikuwa August 9, 2010. Kura za maoni ilikuwa mwisho Augut 1. So kwa kuwa hadi jana tarehe 9 hakuna mwanachama mwingine aliyechukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwania uraisi kwa tiketi ya Chadema zadi ya Dr Slaa, ni wazi kuwa Dr Slaa ndiye mgombea pekee wa nafasi hiyo kwa tiketi ya Chadema. Na ukizingatia pia kuwa muda wa kuzirudisha hizo fomu NEC ni tarehe 19 August, kimahesabu ni kuwa ana wiki moja tu baada ya Baraza kuu la Chadema kumdhibitisha kuwa ndiye atakayeipeperusha bendera ya chadema hadi kurudisha fomu. Inabidi kuzunguka tena kuomba udhamini mikoani etc, so one week ni ndogo kama angeacha kuchukua fomu hiyo leo na akangoja hadi Alhamisi ambapo ndipo kikao cha Baraza Kuu kitafanyika. Ukweli sioni uvunjwaji wa katiba hapa na sidhani kama ni busara kuconclude kuwa kwa kufanya hivyo kuna demkorasia imepindishwa . Hakuna aliyejitokeza kuomba ridhaa zaidi ya Dr Slaa.

Lakini papo kwa hapo, napenda kumsahihisha kuwa hakuna fomu za mgombea urais Chadema, bali wao hupigiwa kura za maoni ambapo deadline yake ilikuwa Agosti 1. Lakini hakuna mwingine aliyependekezwa na Kamati kuu. Na kutokana na hili, tumenaweza kusema kuwa limefanya kusiwe na haja ya mchakato wa kura ya maoni juu wagombea urais. Kwa hiyo Katiba ya Chadema haitavunjwa kama Slaa hatarudisha fomu kwa NEC kabla ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu hiyo Agosti 12. Kwa hiyo usiwe na wasiwasi mkuu, katiba imetumika kiuhakika.
Nadhani sehemu tunayoweza kuuliza ni kwa nini Kamati Kuu imetoa jina moja tu, na hivyo kuwanyima wakereketwa wengine nafasi ya kugombea?
 
Ndiyo maana siku ya Mkutano Mkuu wa siku ile ulisababisha mpaka tukachelewa kuona Fainali za Kombe la Dunia kwa dakika 25
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom