Hivi desk top computer inabetri?

Calabash

Member
Jul 20, 2011
10
0
Jamani wanajamii naomba kujuzwa kuhusiana na betri kwenye Desk top computers,kwa sababu computer yangu aina ya DELL ninapotaka kuiwasha siku hizi, kwanza inanialert kwamba " computer batri is low", sasa nashindwa kujua hivi na hizi desk top nazo zina batery? Na kama zinazo basi zipowapi kwenye computer?,na kubadilisha betri unaweza kubadilisha mwenyewe au mpaka mpelekee fundi? na hizo betri ni shiligi ngapi?. Naomba masaada wenu JF

Nawasilisha.
 
Mimi ninachojua desktop zina cimos battery tuu na si kingine!!
 
Kama alivyosema mchajikobe hiyo ni CMOS battery ndo inakufa, inatumika kuhifadhi settings za CMOS wakati PC iko off, ikiisha utakuwa uanpoteza settingz kama za saa na tarehe kila unapozima PC, pia baadhi ya BIOS settings.

Battery hiyo ipo kwenye motherboard, ukifungua kasha la PC utaiona ni kama ya saa ila kubwa zaidi, kubadili ni simple ukishafungua kasha, unachomoa na kushomeka mpya, haina gharama kubwa.

lqUW8.jpg

DIEXv.jpg
 
Back
Top Bottom