Hivi account ya aris inapatikanaje?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wakubwa naomba kuuliza,nimekua nikiona baadhi ya wanafunzi wa udsm na udom humu jf wakiongea kuhusu account zao za aris,nilichogundua ni kwamba aris ni a/c ambayo kila mwanafunz wa chuo husika anakuwa nayo,huwa imewekwa taarifa zote za mwanafunz husika.naomba kuuliza jinsi hyo kitu inavyopatikana au ni ukiishapata admission kwenye chuo husika tu,tayari unakuwa nayo?
 
Perry, mbona kama ulishajibiwa hili swali?? au umemwazima mpigamsuli hii account??
 
Last edited by a moderator:
Hiyo account unapewa after admission pale chuoni, then utakua unaitumia kuchekia matokeo yako.
 
Sasa ya Mzumbe inapatikania kwenye web ya mzumbe.

User ID: Exam Number yako
Password: Surname

Kama una Sup, Carry, Postponed, Pass zote waziona hapo .
Pia total points + GPA zote hapohapo.
 
madogo mbona mpo moto sana?subiri mfanye registration muanze stress za ud na kukimbizana kwenye venue.
 
Kwa kuongezea waambie madogo pia inatumika kwa kuregister course zako utakazosoma katika semester husika. Labda wabadilishe hv karibuni.
Sasa ya Mzumbe inapatikania kwenye web ya mzumbe.

User ID: Exam Number yako
Password: Surname

Kama una Sup, Carry, Postponed, Pass zote waziona hapo .
Pia total points + GPA zote hapohapo.
 
Sasa ya Mzumbe inapatikania kwenye web ya mzumbe.

User ID: Exam Number yako
Password: Surname

Kama una Sup, Carry, Postponed, Pass zote waziona hapo .
Pia total points + GPA zote hapohapo.

Vyuo vya TZ vya kipumba2vuu sana, yaani hayo ndio matumiz yke tu pekee,

OK: student a/c kitaaluma. lazma kuwe na server/komputer itayohifanyi taarifa za chuo/kampuni nk. kila mtumishi au/mwanafunzi anafunguliwa sehemu/account yke, na jina lake na password kama funguo za kuingilia.

MATUMIZI

si matokeo tu,
1. assignment
2.mawasiliano binafs na wakuu wako
3.kujisajili na course mbali mbali conti.. stndnts
4. nk

mimi nina acount yangu mpaka sasa japo nilimaliza chuo, inanisaidia
 
Back
Top Bottom