Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,099
kwani kwa kauli hii inamaanisha kwamba anastahilaaia kuhukumiwa? na je nani anatakiwa awe mlinzi wa afya ya mtu? mtu binafsi ama mtu mwingine? manake ni jambo amballo wewe mwanaume unatakiwa ujiulize kabla ya kuzini ili kuepuka maambukizi kadhalika mwanamke nae. sasa hapaaswi kulaumiwa. amwambie naumwa ili iweje? jiangalie mwenyewe kama umenimind twende tukapime kwanza ili kujiridhisha ndipo tumake love sasa tukifanya ngono zembe si kosa la mmoja. hata kama ukweli naujua
Ha ha haa......na hii je?...yaani toka 2008 kauchuna tuu anagawa PAPUCHI at will
Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.