HIV inanitesa

kwani kwa kauli hii inamaanisha kwamba anastahilaaia kuhukumiwa? na je nani anatakiwa awe mlinzi wa afya ya mtu? mtu binafsi ama mtu mwingine? manake ni jambo amballo wewe mwanaume unatakiwa ujiulize kabla ya kuzini ili kuepuka maambukizi kadhalika mwanamke nae. sasa hapaaswi kulaumiwa. amwambie naumwa ili iweje? jiangalie mwenyewe kama umenimind twende tukapime kwanza ili kujiridhisha ndipo tumake love sasa tukifanya ngono zembe si kosa la mmoja. hata kama ukweli naujua

Ha ha haa......na hii je?...yaani toka 2008 kauchuna tuu anagawa PAPUCHI at will

Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.
 
Pongezi kwa kujitambulisha maana kuna wenye ngoma na wanajificha mbaya zaidi wanaisambaza kwa kigezo cha tufe wengi.
La msingi kutimiza tamaa za mwili kama kuna mtu anakomaa kavu kavu mtolee nje kiaina maana utakuwa unafanya jambo la kheri mbele ya Mola.
Otherwise ukimwi sio kifo jitunze na fuata masharti kuna jamaa anadunda mwaka wa 20 sasa!
 
Ha ha haa......na hii je?...yaani toka 2008 kauchuna tuu anagawa PAPUCHI at will

Niliishi maisha ya kawaida tu hapo awali adi mwaka 2008 mwishoni nilipata mchumba kwenda kupima mie nikangundulika nimeathirika wapendwa.kweli ilikuwa hali ngumu sana kwa upande wangu.Nikakaa kimya adi leo sijawambia mtu ndo naweka wazi hapa Jamii leo hii.Namshukuru Mungu nina afya njema sana sina hapa uwezi kujua hata ukiambiwa uwezi kukubali.

mkuu naujuaga uchokozi wako lakn jua kabisa kwamba hakuna binadamu ambaye ni msimamizi wa furaha ama afya ya mwingine bali tu washiriki wa furaha mtu aipatayo kwa kuwa na afya njema. sasa katuonyesha kabisa kwamba hata ukikutana nae huwez kujua kwamba kaathirika na line uloshade bluu ya mwisho limaanisha hivyo ingawa kiswahili chake ni kigumu kueleweka kwa haraka.

nimempenda alipotoa angalizo kwa wengine kuepuka wasije wakaambukiza kusudi jambo ambalo linatoa faraja kwa kila mtu. sasa weye endelea kuchokoza kwa kusoma na kukosoa kila mstari. ila ukweli ndio huo. ama wataka fimbo ya mwalimu itumike kukuadhibu? kumbuka mwl mie ni mkali.
 
mkuu naujuaga uchokozi wako lakn jua kabisa kwamba hakuna binadamu ambaye ni msimamizi wa furaha ama afya ya mwingine bali tu washiriki wa furaha mtu aipatayo kwa kuwa na afya njema. sasa katuonyesha kabisa kwamba hata ukikutana nae huwez kujua kwamba kaathirika na line uloshade bluu ya mwisho limaanisha hivyo ingawa kiswahili chake ni kigumu kueleweka kwa haraka.

nimempenda alipotoa angalizo kwa wengine kuepuka wasije wakaambukiza kusudi jambo ambalo linatoa faraja kwa kila mtu. sasa weye endelea kuchokoza kwa kusoma na kukosoa kila mstari. ila ukweli ndio huo. ama wataka fimbo ya mwalimu itumike kukuadhibu? kumbuka mwl mie ni mkali.

Nashukuru mungu miye Bunduki mushkeli........warembo nshewasahau kitambo
 
THMIS of 2007/2008 iliyotupa prevalence rate ya HIV and AIDS to be 5.8 revealed the knowledge of AIDS is almost universal in Tanzania- 98% of women 99% of men have heard of AIDS and that 81% of women and 86% of men know where to get an HIV test. the same report revealed the following indicators from the respondents covered with the study;
a. 93% (females) and 94% (males) are willing to care for a family member with AIDS virus in their homes.

2. 57% (females) and 65% (males) would buy fresh vegatables from a shopkeeper who has the AIDS virus

3. 75% (Females) and 75% (males) stated that a female teacher with AIDS virus and si not sick should be allowed to continue teaching.

4. 49% (females) and 59% (males) would not want to keep secret that a family member has AIDS virus.

5. 26% (females) and 35% (males) accepted all four indicators!

What does these figures tell related to HIV and AIDS stigma and discrimination! While the overall data are promising towards eradicating the epidermic, but the question can be are we really fighting the really problem. The indicators suggest that stigma and discrimination is really high!

For instance the same reports tells that the highest attitudinal acceptance rate of HIV and AIDS is in Arusha (42%) and the lowest is covered by Singida (15%). Dar Es Salaam has 32% attitudinal acceptance! The national percentage is 26%. No wonder stigma and discrimination is highest in the urban areas than in rural areas. While a lot of monies are fuelled to fight HIV and AIDS via the government and related partners. HIV and AIDS is really politicised.

TACAIDS are telling us that we heading towards HIV and AIDS being a PERSONAL PROBLEM than a NATIONAL DISASTER. Which to my opinion is wrong. I was in Iringa - Mafinga at the early of this year! I visited Liganga Village which is opposite to Mafinga JKT. Its the village with the highest prevalence rate at the moment! The nearby JKT run dispensary records revealed that on every ten (10) persons testing for HIV and AIDS, 8 (eight) people are diagnosed infected with HIV and AIDS. The disease is alarming and killing. I met a family where grandparent, his kids and one grand child (aged 6) are all on ARVs. A CALL UPON you guys to visit Liganga village - opposite to JKT Mafinga! I learned one small thing that, ILLITERACY and IGNORANCE is the most causer reason for continuing INFECTIONS and DEATHS.

Mtoa mada Discrimination is a result of prejudice, fear and ignorance and makes it hard for people to disclosure that they have HIV. There is no shame in having HIV/AIDS and your HIV status says
nothing about who you are or what you are worth.

Hakuna kitu kizuri kama kujitambua na kujithamini! Nafurahi kwamba umejitambua! Lakini pia umeitambua jamii ikuzungukayo na treatments zao! Unyanyapaa bado upo sana.... HIV + Seeking counseling and support groups or service organizations that help people living with HIV/AIDS will help! Kuna mashirika mengi sana Dar Es Salaam na mitandao!

Otherwise, you'll be part of augmenting the scourge. Think of the orphans in the streets, kids who dont have school fees etc because of the HIV and AIDS related causes. Importantly, right to LIFE is fundamental to every Tanzanian and it should be that way! While I commend you telling your story which is really saddening, I pray that you keep on becoming steady, focused and importantly know how WORTH you are and other Tanzanians. Life is too precious. Look for Psycho-therapist cum counselor! Pole sana!

Kwa wengine lets break the chains!
 
really?sikutegemea ningeeleweka hivyo mkuu,well mimi nililitazama hivyo lakini si katika unyanyapaa,pole kwa kukukwaza!wala halikuwa lengo langu! i hope mleta thread hajatafsiri ulivyoelewa wewe.lol!mbona maushauri yote hayo yatakuwa ni kazi bure sasa!

Inabidi kuwa makini kabla ya kuandika, kwa sababu unapochukulia kirahisi suala la kutaka kumbadilisha mtu jina bila kujua historia nzima iliyomfanya achukue jina hilo unakuwa humtendei haki na unarahisisha maswali magumu.
 
Ndio umejiunga leo jamvini?
Kama unataka kweli muanzishe network ya JF+ unaonaje ukitumia ID yako ya zamani ili watu wakutrust?
Otherwise, hongera kwa positive thinking na kuwawajali na kuwalinda wengine.

Tatizo wanawake wa siku hizi wanaogopa mimba kulio virusi
 
pole sana dada... huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine... na unatibika bila wasi wasi. ni PM nikupe mwongozo on how to get treatment
 
Pole sana mdada, Mungu ni mwema sana kwa kila binaadamu, napenda tu kukusihi kuwa jitaidi kadri uwezavyo kutowaambukiza wengine wasio na hatia na Mungu atakubariki.
 
Baada ya kuusambaza ndio umepata busara sio?

Mkuu angalia sana sio kila mwenye HIV kaambukizwa kwa njia ya ngono utakuwa umepotea pabaya sana kwa dhana finyu isiyofikirika.Leo yeye kesho wewe au mtu wako wa karibu nao utawashutumu?

Dada nakupongeza kwa uajsili wako haswa,,Pambana kama Gaddaf ndani ya himaya yake mwisho mungu ndio anajua Naomba uzingatie haya machache kuugua sio kufa watakufa wazima wanaojidai wana afya safi na wewe ukaendelea na maisha yako kama kawaida
Njoo uonane na wasahuri watakupatia kile kitakacho kuwezesha ukaishi maisha ya kawaida
Mwisho usifanye jazba kuambikize wengine hilo litakuwa kosa litakalo kuukumu daima milele
 
pole dada lakini nakuhakikishia hapa jamvini tupo wengi tunaoogopa kwenda kupima,tunasubiri mpaka tuanze kuumwa kumbe inaweza kuwa too late,Mungu atupe ujasiri
 
Mkuu angalia sana sio kila mwenye HIV kaambukizwa kwa njia ya ngono utakuwa umepotea pabaya sana kwa dhana finyu isiyofikirika.Leo yeye kesho wewe au mtu wako wa karibu nao utawashutumu?

Dada nakupongeza kwa uajsili wako haswa,,Pambana kama Gaddaf ndani ya himaya yake mwisho mungu ndio anajua Naomba uzingatie haya machache kuugua sio kufa watakufa wazima wanaojidai wana afya safi na wewe ukaendelea na maisha yako kama kawaida
Njoo uonane na wasahuri watakupatia kile kitakacho kuwezesha ukaishi maisha ya kawaida
Mwisho usifanye jazba kuambikize wengine hilo litakuwa kosa litakalo kuukumu daima milele

Mukubwa,

Mimi sijazungumzia kaupataje......nimezungumzia alivyousambaza kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe
 
snowhite ulijieleza vizuri sana na wala hujakosea popote ila nimjuavyo mkuu Kiranga ni critique tu wala asikupe hofu alielewa ulichomaanisha. wafikiri yuko siriaz basi?

At the risk of recording a third person self narration that's criticising a critique of my critique....

Kiranga hawezi kuwa critique kwani critique ni kitendo, wala si mtu, labda ulimaanisha "critic".

Ukweli unabakia pale pale, huwezi kumfariji mhanga wa ubaguzi wa waafrika kwa kumwambia aache kuvaa nguo za kiafrika zinazomtambulisha yeye kama muafrika. Hii si faraja, to the contrary ni kuendeleza unyanyapaa.

Unachotakiwa kumwambia ni kwamba uafrika wake ni sehemu ya utu na anatahaminiwa.

Vivyo hivyo, huwezi kumfariji mtu aliye HIV+ kwa kumwambia abadili hilo jina la HIV+ (Jambo amabalo litakuwa kinyume na nia yake ya ku raise HIV awareness).

Tunachotakiwa kufanya ni kumwambia kwamba bado tunampenda hivyo hivyo kama alivyo hata kama hatabadilika, kwa sababu wenye HIV+ nao ni watu wenye mchango katika jamii.


Tukimwambia abadili jina ni kama vile tunamwambia kwamba HIV ni mkosi, inapunguza utu, inatakiwa kufichwa na isionyeshwe, kitu ambacho ni kinyume kabisa na spirit yake ya kufunguka na ku raise awareness aliyotuonyesha hapa.
 
what i can't understand is how people know that you are positive ili wakunyanyapae. ok umesema toka upime hujawa kumwambia mtu kwamba uko +ve sasa watu huota ama?

to me and am very serious unajinyanyapaa mwenyewe and taking into account ushauri wa snowhite your name can tell us so.

my take.
leave everything behind be you, amini kwamba hakunaga wewe mwingine and so long as you are living you deserve everything good. stop living under illusions kama huna watu unaowaambia ama kama huna bifu na mtu sidhan kama mtu atakunyanyapaa pasi sababu.

you know what u are suffering from, is inferiority complex ambayo ni rooted from tatizo ulilo nalo and thats why you can date a person pasi kumwambia ukweli at first sight. kama kweli unajipenda unasema ukweli and you look for someone ambaye yuko kama wewe maisha yanasonga mbona hapa jamvini wengi tu hupata wapenzi ambao ni waathirika kama wao kwa kujitangaza wazi? na hawajawah kurudi kutultltmikia kwamba wamekuwa victimized?

nakuombea sana Mungu akujalie ujikubali.
 
ivi kwa nini UKIMWI unatufanya tuwe wanyonge wakati hatufi leo wala kesho? nani aliyelikuza tatizo hili hadi linaonekana ni baya sana kwa jamii? Ukizungumzia upungufu wa kinga mwilini, hakuna aliye na kinga kamili 100% wote tuna upungufu wa kinga hizo. ndio maana leo kichwa, kesho mafua kesho kutwa malaria. yote haya yanatupata kwa kuwa kinga zetu si imara.

Mi nashauri wataal wa afya waje na jina lingine la ugonjwa huu, kwani jina lake halina maana yeyote, bali kujenga hofu tu kwa baadhi ya makundi ya waathrika.

By the way, nakupongeza kwa kujutia nafsi yako kwa hao marijali wanaojipendekez kwako. wangapi wamefanya fitina na kujamiana pasipo kinga? au anakudanganya ameivalia lkn anaichomoa katika mishe mishe?
 
Back
Top Bottom