jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
Wachagga kutoka Rombo asili yao ni Kenya, wachagga wa Marangu asili yao ni Kenya kabila la kikuyu, Wachagga wa Machame asili yao ni wamasai,wachagga wa Rombo useri asili yao ni wakamba kutoka kenya, n.k...
Kama mimi nina asili ya Sina...Na asili yetu ni kutoka MASAI...Then hapo inakuwa vipi?
Halafu hapo juu sijaona ulipotaja kuhusu Kibosho...Naona hutaki kuelewa kuwa Afrika ni moja....Sasa kabla hatujaanza kuelezana kuwa wachagga wametokea Afrika NZIMA...Na waliamia maeneo hayo miaka ya nyuma.
Ila kabla hatujarudi kote huko...Tuanzie tu na era ya colonialism...Wakati tulipovamiwa na mwarabu na mzungu....Wakati wa resistance...Ndugu zangu..Ile spirit ya kulinda mali za Taifa dhidi ya MKOLONI NA MAMLUKI WAKE ILIKUWA NI YA SINA.
Kusema ni msaliti kumetoka wapi?