inawezekana kama Utanzania maana yake ni Ugoigoi, General Ulimwengu aliposimama Kidete nae akaitwa Mnyarwanda, 'Utanzania' ikiwa ni usanii, ujanja ujanja, nakubaliana nawe kuwa si Mtanzania, sheikh kila anapoikabil Dola makafir hugeuka kuwa Mawakil wa Serikali!
Jenerali Ulimwenguinawezekana kama Utanzania maana yake ni Ugoigoi, General Ulimwengu aliposimama Kidete nae akaitwa Mnyarwanda, 'Utanzania' ikiwa ni usanii, ujanja ujanja, nakubaliana nawe kuwa si Mtanzania, sheikh kila anapoikabil Dola makafir hugeuka kuwa Mawakil wa Serikali!
Walio Export Twiga walipigwa ngapi?2001 alipigwa risasi akiwa kwenye biashara zake haramu/magendo.
Mkome kuita wenzenu makafiri, hivi nyie na makafiri mnatofauti gani??
Upumbavu kama huu ndio uchochezi mmoja wapo hivi akitokea wa chokochoko upande wa wakristo hivi unadhani vita haitazuka??
Serikali hebu mshughulikieni huyu kiumbe faster kabla amani yetu haijaondoka.
Sheikh Ponda= Mwiba kwa
Madhalim, jasiri aliepigwa Risasi mara kadhaa 2001 mjin Kigoma, 2013
Mjin Morogoro, kafungwa Magereza kadhaa hapa nchin, katungiwa uongo
mwingi, vifungo vya ndan na nje, Lakin hayumbi, ukitaka kujua udhalim wa
Dola kwa Raia Tazama misuko suko ya Sheikh sio yule aliyeita Press
Conference Arusha kuonesha Mabav ya Vyombo vya Dola yamevunja Miwani
yake! Nitapambana mpaka Nife au Tuondoe Udhalim- Mujaahed Sheikh
Ponda!
Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.
Sheikh Ponda= Mwiba kwa Madhalim, jasiri aliepigwa Risasi mara kadhaa 2001 mjin Kigoma, 2013 Mjin Morogoro, kafungwa Magereza kadhaa hapa nchin, katungiwa uongo mwingi, vifungo vya ndan na nje, Lakin hayumbi, ukitaka kujua udhalim wa Dola kwa Raia Tazama misuko suko ya Sheikh sio yule aliyeita Press Conference Arusha kuonesha Mabav ya Vyombo vya Dola yamevunja Miwani yake! Nitapambana mpaka Nife au Tuondoe Udhalim- Mujaahed Sheikh Ponda!
Tafsiri ya gaidi tafadhali!!
mbaya zaidi miongoni mwetu magreat thinkers kuna udini.....Udini Tanzania utatugawa.
Tafsiri ya gaidi tafadhali!!
Huyu ndie anaandaliwa kuwa kiongozi wa chama kimoja cha siasa!!!!
unaogopa nini siuseme CUF