Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Status
Not open for further replies.
Kinachoshangaza ni kuwa hiyo anwani ya Posta 21842, Kigoma, ndio hiyohiyo namba yake ya simu!
Isitoshe, Posta Kigoma hawajafikia idadi hiyo ya masanduku.

Kama ni kweli amejaza SLP 21842 Kigoma, basi Sheikh Ponda ni tapeli.

Kwanini tusimwite alieleta hizi habari ndio tapeli?
Tunaushahidi gani kama kasema kweli?
Anangoja nini asipeleka uhamiaji au hata mahakamani?

Mnapoteza muda kujaribu kupambana na Nuru ya Mwenyezi Mungu, kamwe hamtofanikiwa.
Wamarekani na juhudu zao zote wameshindwa na bado Uislam ndio dini inayo kua kwa kasi kuliko zote duniani.
 
aahhh pondamali sheikh ubwabwa
ni kirusi cha mustakabali wa taifa letu...namuombea afe ili tuendelee kuishi kwa amani
 
nashindwa kuwatotofautisha pondamali na farid hadi na alshabaab ,alqaida au boko haramu....
Mungu awalaani magaidi hao na vibaraka wenzao wa uamsho
 
Hii ni taarifa kwa mujibu wa Idara ya Uhamiaji.

wanangoja nini wasimshtaki?
Ponda ni kiboko yenu, ndomana mnamgwaya kila siku kumzushia.
Mnajaribu kumzima kwa kutumia hila, huyo ni mmoja tu bado wengine kibao wapo wametulia.
 
Mambo yote tuonge lakini sio kuhusu uraia, maana mababu zetu wote walitokea sehemu nyingine, hata marais na viongozi wengi wakubwa sio watanzania, hii nchi ni kama jalala tu limejaa wahamiaji watupu.
 
Ninavyofahamu mimi ni kuwa huyu jamaa siyo msomi wa dini bali ni muumini wa kawaida tu.
miaka ya nyuma aliwahi kufanya kazi ya ulanguzi wa madawa kama klorokwini na mengineyo alikuwa anapeleka DRC na huko ananunua bidhaa kuleta huku kwetu. katika biashara hizo inasemekana alikuwa analeta hata vijisilaha toka burundi na kuziuza huku kwetu. Kuna watu wengi wanafahamu background yake lakini ukiiulizia wanaonyesha mashaka kuongea kwa ufasaha.
 
Najua serilakali inamjua vizuri huyu Pondamali, pia usalama wa taifa wanajua lakini kwa kuwa serikali ina maslahi kwenye hasa kuwatumia wakati wa shida kama uchaguzi haiwezi kufanya lolote. haiwezekani mtu atoe amri kwa Rais aliyechaguliwa na wananchi siku 7 kwenye vyomba vya habari. Mtoto umlieavyo ndivyo akuavyo.
 
Nahisi na wewe ni wakutoka huko, nchi yetu wamejaa acha Watanzania kabla ya uhuru, mimi nimesoma na baadhi yao kutoka Ulyankulu Tabora miaka ya 90 katika shule moja ya serikali pale mkoani Tabora.wamesoma kwa kodi za Watanzania mpaka level ya chuo, na tunawajua kwa majina na wizara wanazofanya kazi. baadhi wamebadiri majina mfano kuna mmoja nilikutana nae ameajiliwa kwenye Ngo moja ya US. kwa sasa anaitwa TANGMAN lakini jina lake harisi ni HATINGIMANA.
 
Nahisi na wewe ni wakutoka huko, nchi yetu wamejaa acha Watanzania kabla ya uhuru, mimi nimesoma na baadhi yao kutoka Ulyankulu Tabora miaka ya 90 katika shule moja ya serikali pale mkoani Tabora.wamesoma kwa kodi za Watanzania mpaka level ya chuo, na tunawajua kwa majina na wizara wanazofanya kazi. baadhi wamebadiri majina mfano kuna mmoja nilikutana nae ameajiliwa kwenye Ngo moja ya US. kwa sasa anaitwa TANGMAN lakini jina lake harisi ni HATINGIMANA
 
Juzi juzi nilianzisha thread isomekayo "Vurugu za Magala na Zanzibar ni dalili ya uwepo wa Alshabab?
Hakika sasa ninataka kudhani nina Roho Mtakatifu, nilichokuwa namaanisha ni hicho hicho ambacho tunakisoma katika vyombo vingine vya habari kumhusu huyu Osama wetu mpya. Kasi na nguvu aliyokuwa nayo huyu gaidi vilidhihiri kuwa si wa kawaida. Mtanzania mwenye moyo wa kuipenda nchi yako kamwe huwezi kufikia kuwa na upeo mfupi wa jana na leo namna hiyo. Tunaviombea kwa Mungu vyombo husika vifanikishe mchakato wa kiuchunguzi kuhusu jambo hilo kisha ikibainika arejeshwe kwao Yemen, Watanzania hatutaki yafuatayo:-
1. MGAWANYIKO KATI YA NCHI ZETU MBILI BALI TUNATAKA MAREKEBISHO YENYE UWEPO WA AMANI KWA MAPUNGUFU YALIYOPO KATIKA MUUNGANO.
2. HATUTAKI KUMWAGA DAMU KWA TOFAUTI NDOGO ZILIZOPO, WANAOONA HAPA HAPATOSHI WAONDOKE SISI TUTAREKEBISHA MAPUNGUFU YETU BILA KUWAGA DAMU.
3. TANZANIA NI NCHI MOJA BALI TANGANYIKA NA ZANZIBAR NDIYO MAKAZI YETU TANGU ASILI YETU.
4. NCHI HII INAHISTORIA KUWA NDIYO CHANZO CHA BINADAMU WA KWANZA HATUTAKI KUJIVURUGA.
 
Hiimijitu inakuw kama miskule fulani hivi....!!!!kama ponda ndio chanzo cha vurugu,sasa kwenye kudai haki zao...ndio maana watu mamia kwa maelfu wanamkubali ponda.Haya majitu yanayoitwa wa kristo ni watu waahajabu sana.
Nimekudharau kweli kwa hoja za kibaguzi na Uandishi hovyo,Rudi darasani kwanza,vilaza kama nyie mtaendeshwa na Ponda mpaka siku ya motoni
 
kama mpaka mtu akane uraia wake tutajikuta out of 46 million people 10 million only are TZns !!! jifanye tu myanja oune teh teh.....
...HUko Uhamiaji kwenye wafanyakazi wenyewe wengine sio raia wa Tanzania, kwa hiyo hakuna wa kujitokeza kumshikia bango Ponda kuwa sio raia wa Tanzania. Lakini kwa wakazi wa Kigoma wanaomuelewa chimbuko lake wanakiri kabisa kuwa Ponda ni raia wa Burundi na huko ni wanted kutokana na tabia yake ya utukutu!!....:A S 100:
 
Kuna viöngozi wa dini wazi kabisa hawaitakii mema nchi yetu, hao kazi yao ni kuvuruga tu kwa kuwajaza sumu waumini wao.tusiwape nafasi hata kidogo. TANZANIA KWANZA,mengine baadae!
 
Juzi juzi nilianzisha thread isomekayo "Vurugu za Magala na Zanzibar ni dalili ya uwepo wa Alshabab?
Hakika sasa ninataka kudhani nina Roho Mtakatifu, nilichokuwa namaanisha ni hicho hicho ambacho tunakisoma katika vyombo vingine vya habari kumhusu huyu Osama wetu mpya. Kasi na nguvu aliyokuwa nayo huyu gaidi vilidhihiri kuwa si wa kawaida. Mtanzania mwenye moyo wa kuipenda nchi yako kamwe huwezi kufikia kuwa na upeo mfupi wa jana na leo namna hiyo. Tunaviombea kwa Mungu vyombo husika vifanikishe mchakato wa kiuchunguzi kuhusu jambo hilo kisha ikibainika arejeshwe kwao Yemen, Watanzania hatutaki yafuatayo:-
1. MGAWANYIKO KATI YA NCHI ZETU MBILI BALI TUNATAKA MAREKEBISHO YENYE UWEPO WA AMANI KWA MAPUNGUFU YALIYOPO KATIKA MUUNGANO.
2. HATUTAKI KUMWAGA DAMU KWA TOFAUTI NDOGO ZILIZOPO, WANAOONA HAPA HAPATOSHI WAONDOKE SISI TUTAREKEBISHA MAPUNGUFU YETU BILA KUWAGA DAMU.
3. TANZANIA NI NCHI MOJA BALI TANGANYIKA NA ZANZIBAR NDIYO MAKAZI YETU TANGU ASILI YETU.
4. NCHI HII INAHISTORIA KUWA NDIYO CHANZO CHA BINADAMU WA KWANZA HATUTAKI KUJIVURUGA.

Nimependa sana maoni yako ambayo yana lengo la kujenga nchi yetu na hivi ndivyo tunavyotaka watanzania!
mimi ninawasiwasi na hicho kipengele namba nne tu basi, vingine vyote, uko juu!!!
 
Nimekudharau kweli kwa hoja za kibaguzi na Uandishi hovyo,Rudi darasani kwanza,vilaza kama nyie mtaendeshwa na Ponda mpaka siku ya motoni
Havard product????, I doubt if they produce this kind of you; (according to your narrow/thin mind or absent mindness)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom