Historia ya kweli ya maisha ya Sheik Ponda na Fareed ni muhimu

Status
Not open for further replies.
inawezekana kama Utanzania maana yake ni Ugoigoi, General Ulimwengu aliposimama Kidete nae akaitwa Mnyarwanda, 'Utanzania' ikiwa ni usanii, ujanja ujanja, nakubaliana nawe kuwa si Mtanzania, sheikh kila anapoikabil Dola makafir hugeuka kuwa Mawakil wa Serikali!

2001 alipigwa risasi akiwa kwenye biashara zake haramu/magendo.
 
inawezekana kama Utanzania maana yake ni Ugoigoi, General Ulimwengu aliposimama Kidete nae akaitwa Mnyarwanda, 'Utanzania' ikiwa ni usanii, ujanja ujanja, nakubaliana nawe kuwa si Mtanzania, sheikh kila anapoikabil Dola makafir hugeuka kuwa Mawakil wa Serikali!
Jenerali Ulimwengu
 
Mkome kuita wenzenu makafiri, hivi nyie na makafiri mnatofauti gani??
Upumbavu kama huu ndio uchochezi mmoja wapo hivi akitokea wa chokochoko upande wa wakristo hivi unadhani vita haitazuka??
Serikali hebu mshughulikieni huyu kiumbe faster kabla amani yetu haijaondoka.

Muhusika inabidi arudi mafunzoni. ni risasi gani inaparaza?wamtafuta yule wa mwangosi
 
Sheikh Ponda= Mwiba kwa
Madhalim, jasiri aliepigwa Risasi mara kadhaa 2001 mjin Kigoma, 2013
Mjin Morogoro, kafungwa Magereza kadhaa hapa nchin, katungiwa uongo
mwingi, vifungo vya ndan na nje, Lakin hayumbi, ukitaka kujua udhalim wa
Dola kwa Raia Tazama misuko suko ya Sheikh sio yule aliyeita Press
Conference Arusha kuonesha Mabav ya Vyombo vya Dola yamevunja Miwani
yake! Nitapambana mpaka Nife au Tuondoe Udhalim- Mujaahed Sheikh
Ponda!

Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.
 
Jiulize maswali haya,
1.wewe umeshapigwa risasi ngp?
2.umeshafungwa mara ngp hvo vifungo vya ndani na nje kwa ajili ya kutetea amani na uislamu wenu?
Kama hapana, je,wewe c pamoja na ponda?
HUYO BWANA NI GAIDI TU KAMA MAGAIDI WENGINE NA NDIO MAANA AMEPITA KTK MATATZO HAYO.

Tafsiri ya gaidi tafadhali!!
 
Sheikh Ponda= Mwiba kwa Madhalim, jasiri aliepigwa Risasi mara kadhaa 2001 mjin Kigoma, 2013 Mjin Morogoro, kafungwa Magereza kadhaa hapa nchin, katungiwa uongo mwingi, vifungo vya ndan na nje, Lakin hayumbi, ukitaka kujua udhalim wa Dola kwa Raia Tazama misuko suko ya Sheikh sio yule aliyeita Press Conference Arusha kuonesha Mabav ya Vyombo vya Dola yamevunja Miwani yake! Nitapambana mpaka Nife au Tuondoe Udhalim- Mujaahed Sheikh Ponda!

siungi mkono matumizi ya mabuvu yanofanywa na polisi lakini pia siungi mkono uchochezi wa kidini.
 
Ata mimi sijapenda upigaji mbaya wa risasi wa huyu polisi..mdogo wangu yuko huko kasema angekuwa yeye tungashasema alazwe pema..mapolisi majuzi yakulenga kwa CDM tu na mwangosi
 
mara nyingi tumekua tukiona watu wanaotetea haki huwa hawapendwi huku wakipewa majina mabaya eti magaidi na wakati mwingine wakipigwa na hata kuuawa shekhe ponda tunakutakia kheri upone haraka uendelee na harakat zako hata mitume wa mwenyez mungu walikutana na vikwazo vingi wakat wa kulingania watu waende katika haki
 
wale walikuwa na uwezo wa kumdungua hata ya kichwa ila mpigaji aliogopa albadir ya sisi si mnatujuaga?muulizeni rais flani hiv hapa tz watu tumemkeshea home ground(mtambani)alioza mifupa huku anatembea,chezea kisomo weee
 
Shk.Ponda tunakuombea nafuu na Salaama Salmini yako kwanza,
Uwe msomi au uwe mweny elimu ya misingi hayo hayatuhusu tunakupongeza kwa kutetea haki za wanyonge na UJASIRI wako wakupenda usawa kwa jamii. umezaliwa hapa na mwisho wako mwema uwe hapahapa na PEPO ferdausi (paradaisoo)
ikufungukie milango yote nawe uwe shahid. Jamaani Mwzi/Mungu ni mwema na mwadilifu kamnusuru shk.Ponda KATIKA HALI isiyoelezeka kwa maneno ya kawaida. Allahu akbar
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom