Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Yote hiyo ni kutokujiamini na kubembeleza wabuge kwa lugha laini kama rushwa ya maneno maana sheria za rushwa Tanzania ni laini mno, hivyo wanatumia lugha za ghiriba wapitishe budget zao zisizo kizi malenge kuleta maendeleo ya nchi!!! We are not serious with what we are supposed to do in eradication of poverty through our system of leadership!!!Wakuu,
Kama kuna jambo linalonikera mjengoni wakati wa kikao cha bajeti ni pale mawaziri wanapoamua kutaja majina ya wabunge mmoja mmoja waliochangia hoja yake. Mawaziri takribani nusu ya muda aliopewa kutaja majina ya wabunge na muda mfupi unaobaki eti ndiyo anajibu hoja zao. Tafadhali wajuzi watuelimishe hapa, hivi kweli tabia hiyo ina maana yoyote? Mimi naona kama ni kupoteza muda tu.