Hili jambo linanigharimu sana

Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Mna Zile dawa zenu za kufanya ibane. Tumia hizo. Hujachelewa sana. L
 
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Hiki ulichokiandika wengi hawatakuelewa ,ila ujumbe wako ni muhimu sana
 
Kuna mtu kakoment hapo juu kasema hivi ya kuwa wanawake huwa mnakuwa tayari mshawapata waume zenu "halali" kitambo.

Ila shida ni kuwa huwa mnawakataa kwa kuwa hawajajipata kimaisha yaani kipesa. Hii ni kweli kabisa.

Nilikuwa na girlfriend ambaye binafsi nilimbikiri tukiwa chuo na tunatoka kijiji kimoja. Nilimpenda mdada wa watu kiasi kwamba nilimtongoza mwaka na nusu ndio akanikubalia.

Tulikuwa na mipango mingi sana na memory nyingi sana. Shida ilianza wakati me ndio nimemaliza chuo (nilimzidi mwaka mmoja) ambapo boom imekata inabidi nikajitafute kitaa .
Basi dharau za waziwazi zikaanza wakati hajawahi kuwa hivyo.
Kuna siku mbele ya wanaume wenzangu(classmate wake) alianza kuwaomba hela huku na me nikiwepo. Nilimpiga jicho hivi labda kajisahau lakini nikaona bado anaendelea kuwaomba nasi nikajiondokea.

Jioni usiku nikamuomba kwa maongezi baina yangu na yake nikamueleza binafsi nimeumizwa na kitendo cha yeye kuomba pesa mbele yangu .(Kiukweli nilikuwa sina pesa ndani ya lile week(Nilimueleza kistaarabu)
Jibu lililopewa lilinikata maini naomba nisiliandike hapa.

Basi moyo wa kumpenda tena ukaanza yeyuka nikarudi mtaani kujisaka hapo sitaki mahusiano maana shida au tatizo langu nishalijua. Nikaona bora niwe peke angu nitafute life tu.
Guess what nimerudi mtaani wakat huo yeye yupo last year 2021 hiyo hadi leo sijawahi mtafuta.

Wakati nikiwa mtaani kuna katoto kadogo kalinipenda me nikawa nakakwepa maana sijatibu lile tatizo langu (ukata) . Yeye akawa ananipenda hivyohvyo.
Kuja kumgusa mtoto alikuwa ni bikra basi mtoto ni mkali mzuri kuliko ex wangu nikaona hapa nitulie tu.

Mwaka baadae nikapata kazi nikahama home kabisa nipo na mtoto mpya ex wangu anatuma watu anaona aibu kunitafuta directly. Basi me hata sikujihangaisha maana nimempata wangu na makoto yapo.
Hivi sasa huyu mwanamke mwingine wa sasa tunatarajia kupata mtoto wa kwanza pamoja.

Nb;
Wanawake mkiona mnatafutwa afu hatuna kitu mnatuonaga kama hatuji inuka hivi . Mwisho mnaishia kuwa na body count za kutosha maana wenye navyo huishia kuwatumia tu.

Shida huwa na kikomo pia.

Sorry Unique Flower.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom