Hili jambo linanigharimu sana

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,892
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
 
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu .
Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda lakati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati ,kupata shida ya vizazi,kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa .
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi ithink nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic .
Washabutua wangapi so far!!

Mpaka imefikia hatua unajiogopa?!!!!

Sijui chn kutakuw na hali gani!!!
 
Namuomba Mungu stress za mapenzi zisinifikishe level hii....❌
Japo uelewi ukija kuwa muelewa utajuta kukigawa sina stress nanani kakuambia huyu uliyenaye hakutumii kwa faida zake .?? Eh mie nakuambia ukweli kama wewe ni ke jua me anakufaidi ndio maana upo naye kama ni me jua ke anakutumia kwa kiasi fulani hujui lolote kuhusu kuivunja hii amri saivi huenda unaona mie chizi ila ipo siku utajua kuwa mie sio chizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom